Hizo sababu zenu za kutunga hizo haha..Dimond alidharau lini au mkate mdogo anaoupata unawaumiza sana
boss nipachike kwenye kampuni yako basi na mimi
kwan kulikua na ulazma wa kumshanglia huyo dai pekee..me mwnyw ningekuepo fiestan ningemzoea afu sna sababu ya mcng zaid ya kua smpend tuuu...yan smpnd tuu
Mmmhhh katia huruma haswaa!!!
watu wangu wa kinondoniii mpoo ?watu kimyaaaaa!!! kiba kiba teh dogo kaaibika mbaya!!
Bora hajampandisha wema wake angeaibika zaid!!!!
Kiukwel mi nmefurah sana..diamond kwel inawezekana mi mwanamzk mzuri lkn hatakiwi kuwa na dharau...halaf tatzo lake kubwa ni ana uswahili mno...anatakiwa akue sasahv...kufanikiwa kimziki haina maana unaibeba dunia...kumbuku Mr. Nice.......
Wabongo ndio zetu kuwa- discourage wanaofanya vizuri , But the fact remain Diamond keshakuwa wa Kimataifa ! hizo kelele hazisaidii lol Nampenda Ali Kiba pia namshauri asipate Bichwa kisa kelele za wahuni Fiesta !
lol..............bora ww ni hater ambaye unakiri hauna sababu kuliko yule anayesingizia sababu mara dharau, mara wema sepetu
Yaani kiba amsaidie Dimond hahah....wakati hata hili shangwe analolipata ni kwaajili ana bifu na Diamond huyo alikiba wenu angekuwa na Bifu na Barnaba au Bob juniour angesahau hata kupata shoo[/QUOT
Kiba yupu vizuri kuliko Diamond kimziki. ila kinacho muweka juu Diamond ni kutumia ipasavyo fulsa anazo zipata. lakini kama wewe ni msikilizaji wa mziki mzuri utagundua CHIBU ukimuweka hata na BEN POL basi Ben pol utajua anafanya mziki mzuri.
uzuri wa kiba ninacho mpendea ni SAUTI yake. mimi huwa namini Kiba kwa sauti yake ni marighafi tosha kwake...
CHIBU huyu jamaa yeye anajua jinsi ya kumiliki jikwaa. yani ukiangalia unasikia raha..
KIUHALISIA kimziki Kiba yupo vizuri. Mimi napenda kitu anacho fanya Diamond kwa sasa
Kuwa mwanamuziki mkali inahitaji sababu nyingi za nje ukiachana na sauti..kwa pointi yako hiyo ni kwamba Davido ana sauti nzuri kushinda 2face Idibia??
Hahaaaaaaa umenichekesha eti bad boys make some noise midume oyooooooo
tatizo la dimond ni kauli yake ya kusema yupo tayari kumsaidia ali kiba sasa hapo mashabiki ndio walikua wanaonyesha kua kiba si wakusaidiwa
Ajiulize inspector haroun na Juma nature wapo wapi??!
Mwenzio ana machungu ya dayamondo kutia huruma
Ngoja yamuishe !!!!! teh
Amemdharau nani aseee mahaters bwana
el nino unampenda diamond jamani duhSubiria suprise
Ndio maana anaanzisha thread huku na kule LOL