miss strong vip mbona sisikii ukizomea?
Huyu ndio mwanamuzi sasa, Wengine feki tu
Kiba kiba kiba kiba kiba hizo ndio sauti after Diamond.
Inaelekea Davido hatoimba,mwee wameogopa fine nini?Umeonaaa eeeeeee wala hajafanyiwa promo chezeaaaaaaaaaa
Kiba hawa watu wote kawakodi au ni kweli wanampa shangwe la moyo
Kiba hawa watu wote kawakodi au ni kweli wanampa shangwe la moyo
Inaelekea Davido hatoimba,mwee wameogopa fine nini?
Kawakodi. Diamond amewakomoa kapiga nyimbo moja kasepa zake teh teh wahuni wote wameduwaa