Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Video: Mahakama ya Kisutu
yamzuia Davido kuperform katika
tamasha la Fiesta
posted 3 hours ago by admin
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es
Salaam imemzuia msanii kutoka Nigeria, Adedeji
Adelek maarufu kama ‘Davido’ kuperform katika
tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na
Prime Promotion, October 18,2014.
Amri hiyo imetolewa jana (October 17) na hakimu
mkazi wa mahakama ya kisutu , mheshimiwa D.
Kisoka kufuatia maombi ya dharura
yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Times Fm
Radio na Times Fm Promotion.
Times Fm Radio na Times Fm Promotion walipeleka
maombi ya dharura mahakamani hapo wakiitaka
mahakama kumzuia msanii huyo kuperform katika
tamasha hilo kwa kuwa licha ya BASATA (Baraza
La Sanaa Tanzania) kukataa kutoa kibali cha msanii
huyo kwa maelezo kuwa tayari alikuwa
ameshachukuliwa kibali cha kuperform nchini
November 1 kwenye tamasha lililoandaliwa na
Times Fm Radio, Clouds Fm na Prime Times
Promotion waliendelea na taratibu zote bila kujali
zuio hilo la BASATA.
Times Fm Radio na Times Fm Promotion waliiomba
mahakama kuidhinisha madai yao dhidi ya Clouds
Fm, Prime Promotion na mkurugenzi wa kampuni
inayomsimamia Davido, HKN Music.
Madai hayo ni pamoja na kulipwa fidia ya gharama
na usumbufu waliosababishiwa na walalamikiwa
kadiri Mahakama itakavyoona inafaa.
Mahakama imetoa amri kuwa msanii huyo
amezuiwa kufanya onesho hilo October 18,2014
hadi pale ufumbuzi wa kesi hiyo utakapopatikana
mhakamani hapo.
Awali, Davido alisikika katika matangazo ya Times
Fm Radio akieleza kuwa atakuja Tanzania
November 1 kwa ajili ya kufanya onesho
linaloandaliwa na kituo hicho cha radio lililopewa
jina la ‘The Climax’.
 
hiyo ni stupid move ya Davido na management yake na clouds media. viongozi wa clouds media wana akili mbovu sio bure!
 
Na DAVIDO ndio kazuiwa ku perfom.. mambo yanaanza kuharibika asubuhi hii
Mambo ya biashara haya watu wanaweza toana macho,tatizo Clouds wanajifanya wao ni mabingwa sana yaani hakuna wa kuwazuia,ngoja leo tuone,na mashabiki wasipoletewa Davido hapatakalika pale uwanjani leo
 
Tatizo hawa machoko wanaendekeza sana siasa. Kila kitu kwao ni siasa tu. Yaan me nahisi hawa wakiwa vitandani wanagegedwa wanakua wanalia vilio vyenye mahaba ya kisiasa-siasa za ufipa.
Taabu sana.

Hahhaa wamezoe kupinga kila kitu mkuu...!
 
T.I ni maiti Na anahitaji sanda , Nick mbishi ndie Mc anaempeleka six feet deep under.

Vijana gani? Kina Martine kadinda.

Tukiwaambia akili zenu mbovu mnasema tunawatukana... hizi siasa hadi kwenye biashara sijui zitatupeleka wapi. Sasa unamtukana TI kwa kosa gani alilokutenda? Ndio naanza kuamini kuwa hata hawa ndg zetu wa media mnaoshinda mnawatukana kwa kuwatupia lawama kibao yawezekana hawanaga hatia zaidi ni chuki zenu binafsi.
 
Tatizo hawa machoko wanaendekeza sana siasa. Kila kitu kwao ni siasa tu. Yaan me nahisi hawa wakiwa vitandani wanagegedwa wanakua wanalia vilio vyenye mahaba ya kisiasa-siasa za ufipa.
Taabu sana.

hapo ulipoweka siasa za UFIPA ndio umenitibua kabisa,si sapoti mambo ya matola but hata we ubaguzi wako wa kuweka neno ufipa umenifanya nitapike aiseee,ungekuwa jirani au ndio nakugegeda unalia mahaba ya siasa ningekuvomitiya kabisa
 
T. I hatoshi??
 

Attachments

  • 1413630567508.jpg
    1413630567508.jpg
    33.5 KB · Views: 637
  • 1413630587516.jpg
    1413630587516.jpg
    25.4 KB · Views: 582
  • 1413630606301.jpg
    1413630606301.jpg
    14.8 KB · Views: 591
Tatizo hawa machoko wanaendekeza sana siasa. Kila kitu kwao ni siasa tu. Yaan me nahisi hawa wakiwa vitandani wanagegedwa wanakua wanalia vilio vyenye mahaba ya kisiasa-siasa za ufipa.
Taabu sana.

acha upuuzi dogo usihusishe bifu lako na huyo jamaa kwa ufipa mambo yenu yaishie huko huko achana kabisa na ufipa.
 
Mambo ya biashara haya watu wanaweza toana macho,tatizo Clouds wanajifanya wao ni mabingwa sana yaani hakuna wa kuwazuia,ngoja leo tuone,na mashabiki wasipoletewa Davido hapatakalika pale uwanjani leo

Na watu washaanza kutukana vibaya sana, ila times fm ndio wamekomaa kwanini akiuke masharti ya mkataba

Let us wait and see hiyo baadae itakuaje
 
Navyojua anatakiwa kupanda jukwaani mida ya saa saba nane ivi so bado ana muda after ndege ziko kibao
 
kwa ubabe wa clauds anaweza akaperfom licha ya kuzuiwa

Mahakama ya kisutu ishatoa zuio,kwahiyo hao WAFU kama wakipuuza amri ya mahakama nadhani kuna hatua za kuchukuliwa na pia Times FM wanayo haki ya kudai fidia kwa Uongozi wa Davido/Prime Time Promotion kwa hasara yeyote watakayoingia kibiashara.
 
Back
Top Bottom