sa hivi wasivuruge kama mwaka jana mambo ya spika kuzingua mara lights hazieleweki
wajiandae watu tunatoa hela kuburududika, sio kuzingua halafu kesho yake wanaweka fungulia mmbwa
Huyu jamaa alivyiwasili leo usiku alizua tafrani Airport
Uzi maalumu kwa kila kinachojiri kuelekea kilele cha shangwe za burudani
Hivi hawa nao Clouds wanataka kufanya tamasha la wasanii wangapi? Yani wasanii wote wale bado na davido walikuwa wana muhitaji? Wasanii wa kibongo si chini ya 25 na wanje kama wanne +T.I .
Kwa mtindo huu wasanii wa kibongo lazima walipwe kidogo!
Davido alishakuwa booked na watu wengine toka kitambo wao wamekurupuka ili kuharibu biashara za wenzao. Mbaya zaid wamezuiwa kumtumia na watu wa regulations tena kitengo cha serikali ila wamemtumia jk kuonyesha ubabe. Niliandika uzi jana hapa kuna kipapa kauondoa.
Ah siwezi andika tena nilimaind sana. kina Invisible siku hizi wapo kibiashara zaidi hii ishu wanaijua vizuri ata heka heka za kunusuru ujio wa T.I wanazijua sana na thread yangu wakafuta.
tafrani gani tena.....?
TI naskia yuko Niger huko hana mpango wa kutua bongo.
T.I. @Tip · 13h 13 hours ago
T.I. @Tip · 13h 13 hours ago Hizo ni laana za waliodhulumiwa