Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Mi ningekua lina ningeacha na kutupa mik watu hata hawamshangaliii hhhhhhhhaaaaaaaaaaaa
Hao wachezaji wote anawalipa au Ruge ndio kazi yakee
 
Mm n muumin wa muzik mzuri kuwalinganisha diamond na kiba kwa sasa n makosa makubwa,Diamond yupo Hot sanaa Kiba hata afanye nn hawez mfikia diamond hata kwa aina ya nyimbo zao tu,kiba akimbizane na kina ben paul,belle9 na wengneo Diamond amwache kama alivo
 
Tusiopenda vurugu tushaanza kujisogeza pembeni tayari kwa kusepa manake kuna dalili zote za kuzuka vurugu hapa... jinsi ninavyowasikia watu hapa... ni kama wamejiandaa kufanya fujo akiingia Diamond... kama hujazuka mtiti kati ya haters wa Diamond na mashabiki wake, basi sio mimi!
 
Kamkodi nani... alikiba anapendwa na watu kwa nyimbo zake nzuri, skendo za ajabu hana,majivuno na ushenzi wa ajabu ajabu hana ...

Ni kweli majivuno na shobo za kijinga mashabiki hawapend ajikwezaye hushushwa siku zote kafanya vzuri wanaleta porojo
 
pia kaonyesha ubaguzi wa hali ya juu,kusema the return of king ndo nini?sasa hapo ndo wanasambaza upendo gani,au ni mashindano

Ndoo nakuambiaa hiviii chuki haitaisha na uchonganishi nahisi tumerithiiii
 
Back
Top Bottom