Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Matumbo yupo mahakamani anmzuia davido asipande jukwaami
Hhhhhaaaaa yaaan nachekajeee
Matumbo yupo mahakamani anmzuia davido asipande jukwaami
Kiba kapendezaa
Diamond akizomewa itamkatisha tamaa sana,nahisi mtu kuzomewa yangu macho
haaa haaa haaaa am sorry hii ni up date list hadi muda huu,1. Ally Kiba ila naona ni kama kaandaliwa na Clouds ok tuyaache,2. Mwana F.A,3. Blue na 4. Stamina ok hii list any time itachange mana aliyebaki huko kwa kazi ya stejini hana mtu hapa dsm
Matumbo yupo mahakamani anmzuia davido asipande jukwaami