Ndugu yangu Ruttashobolwa, kama ukienda jela siku ya kwanza na kukuta wafungwa wenzio wanapigana basi usigombelezee hata kidogo. kwa maana unaweza kwenda kumshika yule mbabe ambaye anaonekana kumuonea mwingine naye akaanza kujigamba kwa kusema si nilikwambia mimi,huyu wangu mimi.Davido akiperfom italeta tafsiri mbaya sana na itaonekana kuna wako juu ya sheria!
Nasikia hayupo kwenye list ila wamweka ally kibaHahahaaaaaa,silali mpaka na mimi nimuone huyo Ali Kina bob...
"Nlikuwepo":bolt:
Madogo yana nafuu
Labda aombe kumsaidia T.I. Refer kauli yake tata
Hivi haiwezekani kuwapenda wote wawili kama mimi,?
Nimempenda shaa yupo busy sio wengine seme ooooo mara uuuuuu
hahaha et sema ooo
Nilijua tu utalivalia njuga hili suala,huyo ndomo lazima akae leo
hivi kwa kelele hizi za kina blue aweza kweli kuimba live bila back up!!?? watu waelewa anaimba nn kweli!!! duuuh mie nackia daresalaaaaaaam tu
Kiba noma
hivi kwa kelele hizi za kina blue aweza kweli kuimba live bila back up!!?? watu waelewa anaimba nn kweli!!! duuuh mie nackia daresalaaaaaaam tu
inawezekana tu
Hawawezi aisee mi naskia kelele kuweka cd bila live ni wizi si bora ujitaftie ucheki home