Serengeti: Baba afumwa akishiriki ngono na Binti yake wa miaka 11

Watu kama hao si ndio mnawaitaga "baharia" sijui!

Maana umeandika kwa kumtukuza huyo firauni kana kwamba amefanya jambo la kishujaa sana!

Eti "dingi anakula".... ? ni sifa hiyo?

Wewe ni mjinga sana eti! Sijui kama unajua hilo?

I can smell your stupidity from miles away! I can see it between the lines!

Sijui mmekuzwa na kulelewa kwenye mazingira gani ya kutetea walawiti na wanajisi!? inatafakarisha!!
Asante sana. Vijana wengi wa Tanzania ndivyo walivyo watupu vichwani. Watu wa aina uwezekano wa wao kufanya huo uharamia ni mkubwa sana. Unajua unaweza kupima mtu anavyolichukulia suala fulani kwa kuangalia reaction yake kama huyu idiot alivyofanya kebehi.
 
Huyu anatakiwa afugwe zizini na nguruwe. Akae banda moja na nguruwe mpaka kifo chake. Awekewe sehemu yake ya kula ila iwe chini kama nguruwe ili kumfanya ajione bado ana hadhi sababu anafanana na binadamu. Manguruwe yakiwa kwenye heat apewe kama atajisikia ayapande akisusa wapewe nguruwe wengine.
Alafu Nguruwe Mama wapate mimba wazae vitu vya ajabu?, labda yeye hapo zizini awe tu kama Mama Nguruwe.
 
Huyu anatakiwa afugwe zizini na nguruwe. Akae banda moja na nguruwe mpaka kifo chake. Awekewe sehemu yake ya kula ila iwe chini kama nguruwe ili kumfanya ajione bado ana hadhi sababu anafanana na binadamu. Manguruwe yakiwa kwenye heat apewe kama atajisikia ayapande akisusa wapewe nguruwe wengine.
Nguruwe Sasa kosa lake Ni lipi mpaka awekwe pamoja na mpumbavu huyu?
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya huo ufirauni,
Mzee atakua na tatizo kichwani au ni issue za imani zakipumbavu.
 
Huyu ndio siku ya mwisho atahukumiwa sawa na mnywa pombe! Hapana hapana.
 
Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chamoto, Ikwabe Gibogo (58) kwa tuhuma za kumwingilia kimwili mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka (11).

Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Chacha Nyambuche amekiri mtuhumiwa kukamatwa Januari 23, 2021 usiku baada ya polisi kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema na kumkuta nyumbani kwake amelala chini pamoja na mtoto huyo wote wakiwa hawajavaa nguo.

Mmoja wa majirani amesema mtoto huyo ameingiliwa kwa muda mrefu na baada ya kujiridhisha waliamua kutoa taarifa kwa kiongozi wa kitongoji na polisi walipofika waliwapa ushirikiano.

“Huyo mtoto hajaanza shule mpaka sasa, mama yao aliachana na baba yao baada ya kubaini anamuingilia mtoto wake mkubwa. Aliondoka na watoto wadogo kwenda Simiyu, hata hivyo, alifariki dunia ndipo mtuhumiwa akafuata watoto na kuja kuishi nao,” amesema jirani huyo kwa sharti la kutotajwa jina.
laanatullah..! hvi kwa nini pasiwe na askari wenye ujuzi wa kuwaingilia hawa wabakaji? nashauri serikali ingepitisha unamuingilia mtoto na ww unaingiliwa kwa siku mara tatu kwa muda wa miaka sita pumbav. :mad:
 
....Huwa Siku Zote katika habari hizi huumizwa zaidi na Maumivu ya Mtoto husika.
Hivi inawezekanaje Mdushelele wa Mzee wa miaka 50 kusokomezwa kwenye Kijaluba cha Malaika wa Miaka 11???....

Adhabu ya hill jinga ni kupelekwa kwenye jela inahojulikana kuwa na Mabingwa wa kufukua Kinyesi wakamfukue huyoo jinga aone maumivu aliyomtesa nayo Binti yake! Jinga kabisa !
 
laanatullah..! hvi kwa nini pasiwe na askari wenye ujuzi wa kuwaingilia hawa wabakaji? nashauri serikali ingepitisha unamuingilia mtoto na ww unaingiliwa kwa siku mara tatu kwa muda wa miaka sita pumbav. :mad:

What if kuingilia na kuingiliwa ndio starehe yake?

Huyu hafai kuwa in contact na binaadam wala mnyama wala mdudu wa aina yoyote! He deserves to be isolated kabisa! Chumba cha kiza, hakuna dirisha wala upenyo wala sauti! Yaani hata mbu wasimguse! Just him and his thoughts until he perishes!
 
Back
Top Bottom