Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,832
- 86,574
Mzee jangala! Una kumbukumbu!😆Mabandiko haya (hata kama ni utani au changamsha genge) ni lazima yatoke kwenye chemchem ya moyo wako.
Tofauti na hapo basi uigize, lakini pia huwezi kuigiza kipindi chote hiki...umekuwa Jangala!?
Hapana basi tu lakini haileti picha nzuri