Pendekezo mbadala kwa hoja ya Chadema kuhusu usimamizi wa uchaguzi SM

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Wasalaamu wanaJF.
Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take.
Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au uratibu na usimamizi wa chaguzi zinazohusi viongozi ngazi ya Serikali za mitaa ujikite kwenye kupoka na kuiondoa TAMISEMI kwenye usimamizi wa Chaguzi husika.

PENDEKEZO MBADALA KWA SASA;
Usimamizi wa Serikali za mitaa upo chini ya OR TAMISEMI Hivyo kuleta dubwana jingine kuingilia mchakato na uchaguzi wa viongozi wa Serikali za mitaa ni kama vile kuifuta wizara hii.
Tukikubali kuwa kila uchaguzi nchini uwe na mkono wa Tume huru ya uchaguzi tutajikuta tunaongeza gharama zisizo na msingi...badala yaje sasa awepo mteule kutoka Tume ya uchaguzi ambaye atajiunga na dawati linalosimamia uchagizi wa Serikali za mitaa kwa lengo la kupeleka utaalamu wa uchaguzi (technical advisory) ngazi ya Serikali za mitaa..

Swali la kizushi ...hivi kwa nini Tume ya uchaguzi haisimamii uchaguzi wa Daruso au hata wa mwenyekiti wa Chadema??
 
Dear chawa, in order to ensure the integrity and legitimacy of our local government, it is crucial that the election process is free and fair. To guarantee this fairness, it is essential that the election is supervised by a neutral entity, independent of the government in power. Is TAMISETI and its employee/appointees, a government entity? How can you gurentee there will be fairness and the will of wananchi would be represent in the election results?
 
Back
Top Bottom