Sera Mpya ya ardhi, Kaburi jipya la CHADEMA

Mkuu unaamini hiyo sera ya Chadema ndio matakwa ya watanzania walio wengi hadi usemame ni sera ya kuombea kura.?

Ikitokea Chadema wakashika madaraka na hiyo sera ikawafanyiwa kazi unaamini itamuondoa mtanzania kwenye lindi la umaskini.?
Yes hasa kama shambani kwangu kuna block la almas /dhahabu 50kg kama lile alibeba mkapa kipindi kile
 
Chadema either sera zenu ziko wrong or right,mko kwenye right traki as one mnaprovide alternative juu ya sera za serikali wananchi wanabaki na maamuzi as to which party to support....and second,mnabaki relevant lol I mean mnaonekana active na sio passive...HONGERENI SANA MMEANZA VIZURI,MSIKATISHWE TAMAA NA WACHACHE HUMU MTANDAONI
 
Kama ambavyo mnajaribu kumtoa Magu kwenye reli lakini jamaa ni gado ile mbaya ,matokeo yake thread zinajirudia kwa kubadili heading,lakini wapi!
 
nani anayemtoa huyo dikteta kwenye reli??...mnhhh
 
Sera inasomeka vizuri lakini kiutendaji italeta machafukoo na migogoro ya ajabu ya ardhi...watunga Sera chadema sidhani ka walifikiria nje ya box
 
kuna mifumo miwili ya kumiliki ARDHI duniani.
1. mfumo wa umiliki usio na kikomo (freehold system)
2. mfumo wa umiliki ulio na kikomo (leasehold system)
katika mifumo yote hii miwili duniani kote, rasilimari zilizoko chini ya ARDHI kama mafuta na gesi ni mali ya umma, na si mali ya mmiliki wa kipande cha ARDHI husika. hiyo yote ni katika kuleta usawa katika mgawanyo wa rasilimari za nchi.
 
Hii sera itatzua vita vya wenyewe kW wenyewe maana matajiri wamiliki ardhi kubwa huku wanyinge wakibakia bila ardhi.Matokeo yake itakua ni machafuko ndani ya nchi vita vya kugombea ardhi .Chadema itasababisha umwagaji wa damu Sera hii ni mbaya kwa Amani ya Tanzania.
Embu fafanua kiundani zaid. Umiliki ardhi wa matajiri na maskini. Na hii sera vitazuaje vita na machafuko?
 
Sera inasomeka vizuri lakini kiutendaji italeta machafukoo na migogoro ya ajabu ya ardhi...watunga Sera chadema sidhani ka walifikiria nje ya box

hawakupata experts opinion, research zinaonesha kwamba, sera na sheria za ARDHI za Tanzania ni zenye USAWA kwa wananchi wake. nchi nyingi sana za Afrika wanataka waige mfumo wetu wa KUMILIKI ARDHI, lkn wale wachache waliowahi na mara nyingi wana nguvu za kipesa na mamlaka, wanapinga. wafuatilie sera za Zimbabwe, RSA, Kenya nk.
 
Sera inasomeka vizuri lakini kiutendaji italeta machafukoo na migogoro ya ajabu ya ardhi...watunga Sera chadema sidhani ka walifikiria nje ya box
Wanataka kuturudisha Zimbabwe.!
 
Sera inasomeka vizuri lakini kiutendaji italeta machafukoo na migogoro ya ajabu ya ardhi...watunga Sera chadema sidhani ka walifikiria nje ya box
Labda walijua watawqfurahisha wapiga kura, kitu ambacho sidhani kama kitatokea.
 
Chadema either sera zenu ziko wrong or right,mko kwenye right traki as one mnaprovide alternative juu ya sera za serikali wananchi wanabaki na maamuzi as to which party to support....and second,mnabaki relevant lol I mean mnaonekana active na sio passive...HONGERENI SANA MMEANZA VIZURI,MSIKATISHWE TAMAA NA WACHACHE HUMU MTANDAONI
Nakubaliana na wewe 100%
 
Uko sawa ila wasiogope kukosolewa pale wanapozua sintofahamu kuhusu sera na ajenda zao.
 
Hii sera itatzua vita vya wenyewe kW wenyewe maana matajiri wamiliki ardhi kubwa huku wanyinge wakibakia bila ardhi.Matokeo yake itakua ni machafuko ndani ya nchi vita vya kugombea ardhi .Chadema itasababisha umwagaji wa damu Sera hii ni mbaya kwa Amani ya Tanzania.
kwan matajiri wana ardhi ndogo sasa hv Tanzania?
 
Nadhani hujatafiti kiusahihi ndugu. Hebu kajichimbie tena kisha urudi kwa usahihi.
Ili uwasaidie wafuatiliji wa hii mada ulipaswa kuonyesha wapi pana uongo,wapi kuwa ukweli.
Lakini kupiga porojo bila kuanisha nini unakipinga ni uwenda wazimu.
Wakina Saro Wiwa waliuliwa na serikali ya abacha kwa sababu gani?
 
"2. USIMAMIZI WA ARDHI: Chadema itaanzisha mfumo wa umiliki wa ARDHI ambapo kila MWANANCHI atamiliki ardhi na rasilimali zake JUU na CHINI ya ARDHI hiyo. TOFAUTI na CCM, Chadema HAKIAMINI katika KUFUKUZA watanzania kwenye ARDHI YAO kufuatia UGUNDUZI wa MADINI."
===========================

Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.

Naona mnataka kutupeleka Zimbabwe kwa hii sera yenu.

View attachment 880155
Mbona hiyo Sera ya ccm madini yanamilikiwa na na viongozi wachache kwa mgongo was selikari??
 
Back
Top Bottom