wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,265
- 3,387
Jaji Lubuva (kada wa ccm)Nani alikwambia? Lema?
Jaji Lubuva (kada wa ccm)Nani alikwambia? Lema?
Sheria za ardhi za Tanzania tofauti Na kenya Tanzania humiliki ardhi unachomiliki ni kile ulichowekeza juu ya ardhi kama mazao,majengo nk sio kama kenya mtu anazungushia fence eneo la Eka elfu moja anasema lake wakati hajawekeza chochote juu ya hiyo ardhi si kilimo Wala majengo Na kuwanyima wengine ambao wangeiwekeza kituWakati wa spika Sitta aliwahi kusisitiza kwamba linapokuja suala la kumhamisha mtu kwa sababu ya madini ile compasation anayopewa inabidi izingatie na thamani ya kile kilichopo ardhini kwani bila hivyo atafidjwa nyumba na mazao yaliyopo awnde kusjkojulikana ambako pia haijulikani atapata kwa gharama gani.
Kwa kifupi ni kwamba, sheria ya sasa inawamasikinisha wale ambao madini yanagunduliwa kwenye ardhi zao. Ama ndo tuite ni resource curse?
Tuchambue suala hili kwa utulivu kwa manufaa ya Tanzania na Watanzania wake.
Sijui umesema nini!Sheria za ardhi za Tanzania tofauti Na kenya Tanzania humiliki ardhi unachomiliki ni kile ulichowekeza juu ya ardhi kama mazao,majengo nk sio kama kenya mtu anazungushia fence eneo la Eka elfu moja anasema lake wakati hajawekeza chochote juu ya hiyo ardhi si kilimo Wala majengo Na kuwanyima wengine ambao wangeiwekeza kitu
Hujaelewa madini yakiwa ardhini kwako sio wewe uliyeyaweka ukichoweka kwenye ardhi kama majengo ,mazao nk ndio yako huwezi dai kuwa madini,mafuta au maji yaliyo chini ya ardhi yako kuwa ni Mali yako.Ikija fidia unafidiwa kile ulichowekeza sio alichowejeza Mwenyezi Mungu.Umiliki wako ni wa Yale yaliyo juu ya ardhi uliyowekezaSijui umesema nini!
Hivi inawezekana mtu kuhamishwa na kupata eneo jingine bila malipo na maisha yakaendelea kama mwanzo?Hujaelewa madini yakiwa ardhini kwako sio wewe uliyeyaweka ukichoweka kwenye ardhi kama majengo ,mazao nk ndio yako huwezi dai kuwa madini,mafuta au maji yaliyo chini ya ardhi yako kuwa ni Mali yako.Ikija fidia unafidiwa kile ulichowekeza sio alichowejeza Mwenyezi Mungu.Umiliki wako ni wa Yale yaliyo juu ya ardhi uliyowekeza
"2. USIMAMIZI WA ARDHI: Chadema itaanzisha mfumo wa umiliki wa ARDHI ambapo kila MWANANCHI atamiliki ardhi na rasilimali zake JUU na CHINI ya ARDHI hiyo. TOFAUTI na CCM, Chadema HAKIAMINI katika KUFUKUZA watanzania kwenye ARDHI YAO kufuatia UGUNDUZI wa MADINI."
===========================
Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.
Naona mnataka kutupeleka Zimbabwe kwa hii sera yenu.
View attachment 880155
Mkuu unamaanisha hiyo Sera ni Ulaghai haitatekelezwa kama ilivyoandikwa, shida ni kupata kura mkishapata mnawageuka mliowaaidi kuhusu hiyo sera.
Kutakuwa na tofauti gani nyie na ccm walioaidi milioni hamsini kila kijiji halafu baadaye wakasema zitaletwa kwa mfumo tofauti na sio kashi kama walivyoaidi.
Au ndio yale yale Lowassa fisadi akiwa CCM yupo Chadema mtakatifu.
"2. USIMAMIZI WA ARDHI: Chadema itaanzisha mfumo wa umiliki wa ARDHI ambapo kila MWANANCHI atamiliki ardhi na rasilimali zake JUU na CHINI ya ARDHI hiyo. TOFAUTI na CCM, Chadema HAKIAMINI katika KUFUKUZA watanzania kwenye ARDHI YAO kufuatia UGUNDUZI wa MADINI."
===========================
Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.
Naona mnataka kutupeleka Zimbabwe kwa hii sera yenu.
View attachment 880155
Asilimia kubwa ya wakenya ni wapangaji kwenye nchi yao na kule migogoro ya ardhi ni mingi kuliko hukuSio kweli, ongea unachofahamu, sasa Wakenya wengine wanaishi wapi !!!!!!
watu wawili wanatosha kuanzisha vita, hao kumi ni wengi mno lbd sera yenyewe siyo chanzo cha vita.Ardhi inamilikiwa na watu 10 tu Vita itatokeaje?