Hiyo ni namba tuu kuonyesha ardhi ya Kenya inamilikiwa nachache, wengine wanabanana kwenye skwata. Km familia ya mkuu wa nchi inamiliki nusu ya ardhi unafikiru kitabaki nn?Sio kweli, ongea unachofahamu, sasa Wakenya wengine wanaishi wapi !!!!!!
Sioni shida yoyote sababu sera haionyeshi kuzungumzia kupoka ardhi ila kuhakikisha wasiokuwa na ardhi wanapata na wakipata zikaandikiswa na kurasimishwa serikali ikihitaji watalipwa kwa haki. Sioni machafuko yanakujaje kama mpango wa ugawaji uko makini na usiyo na upendeleo!Hii sera itatzua vita vya wenyewe kW wenyewe maana matajiri wamiliki ardhi kubwa huku wanyinge wakibakia bila ardhi.Matokeo yake itakua ni machafuko ndani ya nchi vita vya kugombea ardhi .Chadema itasababisha umwagaji wa damu Sera hii ni mbaya kwa Amani ya Tanzania.
Ninachofahamu ni kwamba kuna wachache wana miliki ardhi kubwa, ilhali wengi wanamiliki vipande vidogo vidogo ambavyo ni vya kwao binafsi. Hii ni tofauti na huko ambako mnasema ardhi ni mali ya umma lakini hilo linatekelezwa kwa watu wa hali ya chini pekee wakati kuna baadhi wanamilikia ardhi kwa miaka 999 !!!Hiyo ni namba tuu kuonyesha ardhi ya Kenya inamilikiwa nachache, wengine wanabanana kwenye skwata. Km familia ya mkuu wa nchi inamiliki nusu ya ardhi unafikiru kitabaki nn?
Chama cha matajiri wenye sifa ya uchoyo. Unakumbuka kauli ya yule dogo wa Arumeru ambaye alishiriki kwenye mazishi ya mbwa?."2. USIMAMIZI WA ARDHI: Chadema itaanzisha mfumo wa umiliki wa ARDHI ambapo kila MWANANCHI atamiliki ardhi na rasilimali zake JUU na CHINI ya ARDHI hiyo. TOFAUTI na CCM, Chadema HAKIAMINI katika KUFUKUZA watanzania kwenye ARDHI YAO kufuatia UGUNDUZI wa MADINI."
===========================
Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.
Mkuu kumbuka sera ya Taifa inasema ardhi ni mali ya serikali msimamizi mkuu akiwa Raisi...... hivyo hiyo sera mpya ya Chadema wanamaanisha ardhi itakuwa mikononi mwa wananchi wenyewe yaani ni juhudi zako kununua ardhi na kujimilikisha....bila kujali athari kwa kizazi kijacho.Idawa hayo ni maoni yako lakini ingekuwa vema kama ungefafanua vizuri kile kinachokufanya uiogope sera hiyo!
Huwezi kujenga hoja kwa ushabiki na mihemko juu ya jambo fulani kisha ukaeleweka kwa wasio watumwa wa fikraHii sera itatzua vita vya wenyewe kW wenyewe maana matajiri wamiliki ardhi kubwa huku wanyinge wakibakia bila ardhi.Matokeo yake itakua ni machafuko ndani ya nchi vita vya kugombea ardhi .Chadema itasababisha umwagaji wa damu Sera hii ni mbaya kwa Amani ya Tanzania.
Sera ya taifa haiwezi kubadilika?Mkuu kumbuka sera ya Taifa inasema ardhi ni mali ya serikali msimamizi mkuu akiwa Raisi...... hivyo hiyo sera mpya ya Chadema wanamaanisha ardhi itakuwa mikononi mwa wananchi wenyewe yaani ni juhudi zako kununua ardhi na kujimilikisha....bila kujali athari kwa kizazi kijacho.
Wamepanick, ngosha kawashika pabaya. Wanajaribu kujiokoa wasisahaulike mazima.Hawa jamaa swala ardhi ni vyema wangeachana nalo kabisa kwenye sera yao mpya.
Mkuu nimeweka screen shot ya Twitter Mbunge Halima mdee sera ya Chama kuhusu Ardhi naona kwa wengine haionekani....
Ninachofahamu ni kwamba kuna wachache wana miliki ardhi kubwa, ilhali wengi wanamiliki vipande vidogo vidogo ambavyo ni vya kwao binafsi. Hii ni tofauti na huko ambako mnasema ardhi ni mali ya umma lakini hilo linatekelezwa kwa watu wa hali ya chini pekee wakati kuna baadhi wanamilikia ardhi kwa miaka 999 !!!
Mbona inaeleweka..maana yake rasilimali kama madini zitamilikiwa na wachache..ingekuwa hivyo leo tanzanite isingekuwa ya tanzania..ingekuwa ya mzee Ngoma na familia yake..nilichogundua hapa ni rahisi ukiwa nje kuona makosa ndani ya uwanja..chadema hawajachukua hata nchi wameanza kuleta ubinafsiMkuu @idawa,kwa heshima yako humu hustahili kuandika hivi. Umeandika kitoto sana. Ulipaswa kueleza jambo la maana
We hujui kenyatta alitaka kukosa urais kwa ajili ya hiyo sera ikabidi arudishe sehemu ya ardhi.Nchi kama Kenya hiyo ndo Sera yao, mbona hakuna vita ya kugombea ardhi ?
Kwa nini Serikali itaifishe ardhi, badala ya kuwafidia ?Pamoja na yote lakini tumeona mara nyingi ardhi akitaifishwa na serikali toka mikononi mwa hao matajiri.....lakini huko kwingine huwezi kuona kitu kama hicho.!
Hiyo ni kwa sababu ya ulafi wa Baba yake ambaye alichukua sehemu kubwa ya ardhi na kuwaacha Wakenya wengi wakiwa na sehemu vipande vidogo vidogo. Mbona hakuna wanachi wengine waliambiwa kurudisha ardhi.We hujui kenyatta alitaka kukosa urais kwa ajili ya hiyo sera ikabidi arudishe sehemu ya ardhi.
Wamepanick, ngosha kawashika pabaya. Wanajaribu kujiokoa wasisahaulike mazima.