Bulyankhulu serikali ilifukia watu mgodi akapewa mzungu mrahaba 3%, ambayo 50% ya 3$ ilichukuliwa na Alex Stewart, (mkapa yona, mramba) hao wananchi mnaosemea lini walinufaika na aridhi?Hivi mkuu Idawa ardhi kitu gani bwana kwa mwanachi wa kawaida mpaka uanzishe uzi kwa kupanic? Nina hakika wazazi wako huko kijijini wanamiliki ardhi lakini wana umasikini wa kutupa. Utakuta kila mara wanakubeep uwatumie hela ya matumizi ww unayekaa nyumba ya kupanga hapa mjini. Ukiona mwanachi anamiliki ardhi ni kwakuwa haina la maana vinginevyo serekali ingeshampora. Hao cdm wameshaona hiyo tabia ya wananchi kuporwa ardhi yenye maana, wanatengeneza ushawishi wapate kura kisha wakishapata madaraka wataweka utaratibu mzuri wa hiyo ardhi iwapo ina raslimali.
Kwa hapo tatizo ni sera usimamiaji wa sera na taratibu husika.Bulyankhulu serikali ilifukia watu mgodi akapewa mzungu mrahaba 3%, ambayo 50% ya 3$ ilichukuliwa na Alex Stewart, (mkapa yona, mramba) hao wananchi mnaosemea lini walinufaika na aridhi?
Sera yao inachamoto nyingi sana, kuna baadhi ya maeneo nchini wananchi wanaoishi lakini wanajua chini yao ku a madini ya kutosha .Hiyo serikali wataipata wapi ili wagawe ardhi hovyo tu
Eti kilichomo juu na chini yake.mnampa mtu ekari elfu mbili bada ya mwezi anagundua mafuta eneo lote,kwa akili ya chadema na sera yao uchwara,huyo mtu hayo mafuta yatakua yake yote
Yote hii ni kupinga kila kituSera yao inachamoto nyingi sana, kuna baadhi ya maeneo nchini wananchi wanaoishi lakini wanajua chini yao ku a madini ya kutosha .
Mkuu kuhusu uchumi wa Zambia usinitoneshe kidongo.... Mimi mwenyewe ni mhanga wa anguko la uchumi wa Zambia....Yote hii ni kupinga kila kitu
Itafikia wakati kwa sera hiyo,serikali haina kitu,migodi ipo kwa mbowe,Ardhi yote yenye gesi ni mali ya mrema,ardhi yote yenye mafuta ni mali ya mrema,hapo tena tutakua tumeisha zaidi ya Zambia
Sawa tu mbona dhahabu ni ya mkapa, gesi ni ya kikwete, huyu kichaa naye hatujui atajimilikisha nini?, we gesi na Dhahabu vinakunufaisha nini kwa Sera ya umilikiwa selikari/ mwekezaji???Yote hii ni kupinga kila kitu
Itafikia wakati kwa sera hiyo,serikali haina kitu,migodi ipo kwa mbowe,Ardhi yote yenye gesi ni mali ya mrema,ardhi yote yenye mafuta ni mali ya mrema,hapo tena tutakua tumeisha zaidi ya Zambia
Samahani mkuu!Ili uwasaidie wafuatiliji wa hii mada ulipaswa kuonyesha wapi pana uongo,wapi kuwa ukweli.
Lakini kupiga porojo bila kuanisha nini unakipinga ni uwenda wazimu.
Wakina Saro Wiwa waliuliwa na serikali ya abacha kwa sababu gani?
Mkuu Idawa nakuheshimu sana, nakubali hoja zako, kinachoumiza ni pale makaburi ya babu zako yatafukuliwa ili kupisha wanasiasa walafi pamoja na makuwadi wao kujimilisha madini kwa mgomgo wa serilikari,Kwa hiyo kama ccm wanasera mbovu zaidi tusihoji sera za Chadema zenye utata.
Kwa tujimilikishe kabla hawajajimilikisha.... ? Au sijakuelewa Mkuu.Mkuu Idawa nakuheshimu sana, nakubali hoja zako, kinachoumiza ni pale makaburi ya babu zako yatafukuliwa ili kupisha wanasiasa walafi pamoja na makuwadi wao kujimilisha madini kwa mgomgo wa serilikari,
Kamsome vizuri Prof. Seith Chachage kwenye kitabu cha " makuwadi wa soko huria"
Tumiliki aridhi na kichoko chini yakeKwa tujimilikishe kabla hawajajimilikisha.... ? Au sijakuelewa Mkuu.
Naye ni BUKU SABA!?Mwenzako hapo keshaingiza siku wala hajali kama thread inaeleweka au la
Iweke apa mkuuUnaifahamu sheria ya rasilimali za nchi?
Kizazi kijacho kijihangaikie .!?
Wakati wa spika Sitta aliwahi kusisitiza kwamba linapokuja suala la kumhamisha mtu kwa sababu ya madini ile compasation anayopewa inabidi izingatie na thamani ya kile kilichopo ardhini kwani bila hivyo atafidjwa nyumba na mazao yaliyopo awnde kusjkojulikana ambako pia haijulikani atapata kwa gharama gani.Kwa sasaivi madini yakiwa ardhini ni mali ya watanzania, mwekezaji akishapewa leseni akiyachimba ni mali yake si ya wanachi tena. Hii unadhani imekaa sawa? Naamini hao chadema wana ufafanuzi wa kina kabisa kufafanua hii sera yao.
Mpaka leo ndugu bad unamuwaza Slaa"2. USIMAMIZI WA ARDHI: Chadema itaanzisha mfumo wa umiliki wa ARDHI ambapo kila MWANANCHI atamiliki ardhi na rasilimali zake JUU na CHINI ya ARDHI hiyo. TOFAUTI na CCM, Chadema HAKIAMINI katika KUFUKUZA watanzania kwenye ARDHI YAO kufuatia UGUNDUZI wa MADINI."
===========================
Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.
Naona mnataka kutupeleka Zimbabwe kwa hii sera yenu.
View attachment 880155