Sera Mpya ya ardhi, Kaburi jipya la CHADEMA

Sera Mpya ya ardhi, Kaburi jipya la CHADEMA

Hii sera itatzua vita vya wenyewe kW wenyewe maana matajiri wamiliki ardhi kubwa huku wanyinge wakibakia bila ardhi.Matokeo yake itakua ni machafuko ndani ya nchi vita vya kugombea ardhi .Chadema itasababisha umwagaji wa damu Sera hii ni mbaya kwa Amani ya Tanzania.
Kwani wanaofikuzwaga madini yakigundulika huwa ni matajiri?
 
"2. USIMAMIZI WA ARDHI: Chadema itaanzisha mfumo wa umiliki wa ARDHI ambapo kila MWANANCHI atamiliki ardhi na rasilimali zake JUU na CHINI ya ARDHI hiyo. TOFAUTI na CCM, Chadema HAKIAMINI katika KUFUKUZA watanzania kwenye ARDHI YAO kufuatia UGUNDUZI wa MADINI."
===========================

Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.

Naona mnataka kutupeleka Zimbabwe kwa hii sera yenu.

View attachment 880155
Politics of convenience, not of conviction... Wanahangaika ilimradi wapate chochote: watatuuza hawa mabepari
 
Kwa hiyo kama ccm wanasera mbovu zaidi tusihoji sera za Chadema zenye utata.

Mkuu nakupongeza sana kwa kutetea uzi wako. Lakini nilichogundua uko kiupotoshaji zaidi. Hisia zao ndio umegeuza ndio uhakika wenyewe. Sera ni kitu kimoja na utekelezaji wa sera ni jambo lingine kwani kutakuwa na sheria na kanuni mbali mbali katika utekelezaji wa sera hiyo. Naona wewe umegeuza sera ni sheria. Si vibaya umetoa changamoto nzuri kwenye hii sera. Sasa usijali ngoja itapelekwa kwa wananchi kisha wao watakuwa kwenye mazingira mazuri na kutoo majibu ya sera hiyo kwani naamini hakuna mwananchi asiyetaka kumiliki ardhi na vilivyomo.
 
Hivi mkuu Idawa ardhi kitu gani bwana kwa mwanachi wa kawaida mpaka uanzishe uzi kwa kupanic? Nina hakika wazazi wako huko kijijini wanamiliki ardhi lakini wana umasikini wa kutupa. Utakuta kila mara wanakubeep uwatumie hela ya matumizi ww unayekaa nyumba ya kupanga hapa mjini. Ukiona mwanachi anamiliki ardhi ni kwakuwa haina la maana vinginevyo serekali ingeshampora. Hao cdm wameshaona hiyo tabia ya wananchi kuporwa ardhi yenye maana, wanatengeneza ushawishi wapate kura kisha wakishapata madaraka wataweka utaratibu mzuri wa hiyo ardhi iwapo ina raslimali.

Ficha upumbavu wako... Hakuna Rasilimali Muhimu Kama Ardhi...
 
Hivi Chadema walipopitisha kuwa mtu amiliki chote kilicho chini ya ardhi hivi kulikuwa Na mtu yeyote aliyesoma jiografia? Wataalamu wa jiografia walihusishwa? Dunia wote tunavyojua ni duara .Tunafahamu lile tufe la dunia.Ujue hata choo ukichimba moja kwa moja unajua shimo lake laweza tokezea chumba kwa Trump? Angalia piga picha ukitoboa hapo ulipo mpaka mwisho wa tufe la Dunia utatokezea wapi.Kila upande wa tufe ukiamua mfano uchimbe choo hadi mwisho wa tufe la Dunia Kila binadamu Duniani lazima akutane Na mtu wa kupigana naye Kila mmoja akidai hilo ni eneo ni lake liko chini ya ardhi yake.Itakuwa Vita si ya Dunia tu lakini kwenye uchimbaji huo utauchimba muhimbili wa Dunia ule ambao husingizia Na ukikatika utabwa binadamu wote hewani kwa kukosa balance
Yani wewe ni wakuhurumia, umepoteza muda kuandika huo utumbo wako hauna tija yoyote kwenye hii mada
 
Hua nikisikia tu jina LA hicho chama, mawazo yafuatayo hua yananiijia. Ubinafsi, ukabila, ukanda, ufisadi mkubwa, vurugu, ujinga ujinga. Sio chama hicho serikali inapoteza kodi zake ku_finance watu wachache wapuuzi,wezi.
Pamoja na hizo porojo zenu na nec kuchakachua watu zaidi ya million sita wanakikubali chama cha chadema na sera zake
 
Hii sera ni jipu! Tunatakiwa tufikirie mbinu za kupunguza migogoro ya ardhi, sio za kuongeza.
 
Ficha upumbavu wako... Hakuna Rasilimali Muhimu Kama Ardhi...

Asante kwa kejeli, huko vijijini watu wengi wanamiliki ardhi, je kwanini wao ni masikini sana? Ukiweza kuniambia kwanini hawa wanaomiliki hii raslimali muhimu ndio wanaoongoza kwa umasikini itapendeza.
 
Hawa chadema wamekuja na sera hiyo mbovu wakijua haitekelezeki kwani hawawezi kuingia ikulu kamwe kutekeleza huo ujinga.
 
"2. USIMAMIZI WA ARDHI: Chadema itaanzisha mfumo wa umiliki wa ARDHI ambapo kila MWANANCHI atamiliki ardhi na rasilimali zake JUU na CHINI ya ARDHI hiyo. TOFAUTI na CCM, Chadema HAKIAMINI katika KUFUKUZA watanzania kwenye ARDHI YAO kufuatia UGUNDUZI wa MADINI."
===========================

Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.

Naona mnataka kutupeleka Zimbabwe kwa hii sera yenu.

View attachment 880155
"Mwananchi" atamilk ardhi na kila kitu JUU na CHINI!? Kwenye kiwanja chako kukigundulika mafuta n yako, maji n yako gesi n yako, almasi n yako... What a "danganya toto! " Kwa maana nyngne hakuna "taifa". Ikulu mnaitaka kwa udi na uvumba, lakn haipatikani kwa namna hii.

Alafu, "eti Chadema haitaondoa watu kwenye ardhi? " What a contradiction! Kwa shule, hospital, bara2 nk zitajengwa wapi? Mbinguni?
 
"2. USIMAMIZI WA ARDHI: Chadema itaanzisha mfumo wa umiliki wa ARDHI ambapo kila MWANANCHI atamiliki ardhi na rasilimali zake JUU na CHINI ya ARDHI hiyo. TOFAUTI na CCM, Chadema HAKIAMINI katika KUFUKUZA watanzania kwenye ARDHI YAO kufuatia UGUNDUZI wa MADINI."
===========================

Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.

Naona mnataka kutupeleka Zimbabwe kwa hii sera yenu.

View attachment 880155
kwahio CHADEMA ni capitalists? Wakikomaa hivihivi mpaka mwisho bila kuyumbishwa mi ntahama CCM. Napenda itikadi imara.
 
Asante kwa kejeli, huko vijijini watu wengi wanamiliki ardhi, je kwanini wao ni masikini sana? Ukiweza kuniambia kwanini hawa wanaomiliki hii raslimali muhimu ndio wanaoongoza kwa umasikini itapendeza.
Tuko maskini, sawa. Lakin tuna viArdhi vyetu, sasa nayo CDM mnataka kutunyang'anya! Hatukubali.

Tanzania ndyo nchi inayoongeza ktk Africa kwa wananchi wake kumlk uchum wa nchi yao. Wapumbav hawataamn ukwel huu. Maghorofa ya Kenya n ya wazungu wa England and US
 
Mkuu unamaanisha hiyo Sera ni Ulaghai haitatekelezwa kama ilivyoandikwa, shida ni kupata kura mkishapata mnawageuka mliowaaidi kuhusu hiyo sera.

Kutakuwa na tofauti gani nyie na ccm walioaidi milioni hamsini kila kijiji halafu baadaye wakasema zitaletwa kwa mfumo tofauti na sio kashi kama walivyoaidi.

Au ndio yale yale Lowassa fisadi akiwa CCM yupo Chadema mtakatifu.
Mkuu nakupongeza sana kwa kutetea uzi wako. Lakini nilichogundua uko kiupotoshaji zaidi. Hisia zao ndio umegeuza ndio uhakika wenyewe. Sera ni kitu kimoja na utekelezaji wa sera ni jambo lingine kwani kutakuwa na sheria na kanuni mbali mbali katika utekelezaji wa sera hiyo. Naona wewe umegeuza sera ni sheria. Si vibaya umetoa changamoto nzuri kwenye hii sera. Sasa usijali ngoja itapelekwa kwa wananchi kisha wao watakuwa kwenye mazingira mazuri na kutoo majibu ya sera hiyo kwani naamini hakuna mwananchi asiyetaka kumiliki ardhi na vilivyomo.
 
Hii sera itatzua vita vya wenyewe kW wenyewe maana matajiri wamiliki ardhi kubwa huku wanyinge wakibakia bila ardhi.Matokeo yake itakua ni machafuko ndani ya nchi vita vya kugombea ardhi .Chadema itasababisha umwagaji wa damu Sera hii ni mbaya kwa Amani ya Tanzania.
Watanzania hawana makuu ya hivyo mzee,mbona leo madini yanasombwa,na hawafaidiki kwa chochote cha maana zaidi ya kubakia na mashimo tu,na bado wametulia tuliiii,mikataba watu wanasaini ya kipuuzi kabisa na bado wanacheka,si bora wamilikishwe wenye Ardhi zao,hata kama wakipata utajiri wa kutisha lakini pesa yao itakuwa inazunguka hapa hapa Tz,kuliko ilivyo sasa,zile trilioni 480 tulizoambiwa tumezikosa kwa sababu ya upuuzi wa wenye dhamana,imepotelea ughaibuni!!!!!!
 
Back
Top Bottom