Huo ubinafsi umeshindwa kuwatoka.Mbona inaeleweka..maana yake rasilimali kama madini zitamilikiwa na wachache..ingekuwa hivyo leo tanzanite isingekuwa ya tanzania..ingekuwa ya mzee Ngoma na familia yake..nilichogundua hapa ni rahisi ukiwa nje kuona makosa ndani ya uwanja..chadema hawajachukua hata nchi wameanza kuleta ubinafsi
Mkuu @idawa,kwa heshima yako humu hustahili kuandika hivi. Umeandika kitoto sana. Ulipaswa kueleza jambo la maana
Pamoja na yote lakini tumeona mara nyingi ardhi akitaifishwa na serikali toka mikononi mwa hao matajiri.....lakini huko kwingine huwezi kuona kitu kama hicho.!
Tatizo lako wewe kila anayepost huwa unajiona unaweza kumkosoa, na nashangaa unasema ni mwanasheria, sio Mara ya kwanza pengine ntakuonesha kila mtu eti kaandika kitoto kwanini uchangie mada za kitoto? Usipite kushoto tu?? Au unajiona Iq yako iko juu sana haha hatari sana, kwa hali ya kawaida hupaswi kujifanya we ndo unajua sana kujaji mada za kikubwa na kitotoMkuu @idawa,kwa heshima yako humu hustahili kuandika hivi. Umeandika kitoto sana. Ulipaswa kueleza jambo la maana
Mkuu unaamini hiyo sera ya Chadema ndio matakwa ya watanzania walio wengi hadi usemame ni sera ya kuombea kura.?Hivi mkuu Idawa ardhi kitu gani bwana kwa mwanachi wa kawaida mpaka uanzishe uzi kwa kupanic? Nina hakika wazazi wako huko kijijini wanamiliki ardhi lakini wana umasikini wa kutupa. Utakuta kila mara wanakubeep uwatumie hela ya matumizi ww unayekaa nyumba ya kupanga hapa mjini. Ukiona mwanachi anamiliki ardhi ni kwakuwa haina la maana vinginevyo serekali ingeshampora. Hao cdm wameshaona hiyo tabia ya wananchi kuporwa ardhi yenye maana, wanatengeneza ushawishi wapate kura kisha wakishapata madaraka wataweka utaratibu mzuri wa hiyo ardhi iwapo ina raslimali.
Sio ulafi wa Baba yake ndio sera yao ya Taifa,kwamba mwenye uwezo wa kumiliki ardhi miliki kadri uwezavyo.....na kwa kuwa yeye alikuwa kiongozi aliitumia ipasavyo ile fursa.Hiyo ni kwa sababu ya ulafi wa Baba yake ambaye alichukua sehemu kubwa ya ardhi na kuwaacha Wakenya wengi wakiwa na sehemu vipande vidogo vidogo. Mbona hakuna wanachi wengine waliambiwa kurudisha ardhi.
Kama ni Sera yao, ina maana sasa hivi kuna Mkenya anaweza kupata ardhi ya kumiliki ilhali kila mmoja ana ardhi yake ?Sio ulafi wa Baba yake ndio sera yao ya Taifa,kwamba mwenye uwezo wa kumiliki ardhi miliki kadri uwezavyo.....na kwa kuwa yeye alikuwa kiongozi aliitumia ipasavyo ile fursa.
Kwa nini Serikali itaifishe ardhi, badala ya kuwafidia ?
Hii sera itatzua vita vya wenyewe kW wenyewe maana matajiri wamiliki ardhi kubwa huku wanyinge wakibakia bila ardhi.Matokeo yake itakua ni machafuko ndani ya nchi vita vya kugombea ardhi .Chadema itasababisha umwagaji wa damu Sera hii ni mbaya kwa Amani ya Tanzania.
Mkuu binafsi nimeipongeza Chadema kwa kuja na kitu ambacho kitatusaidia kujua wao wanasimamia nini. Sasa inabidi wote waelewe sera yao ili wajue wapi waunge mkono serikali na wapi wapinge badala ya hii pingapinga isiyo na macho.Mkuu @idawa,kwa heshima yako humu hustahili kuandika hivi. Umeandika kitoto sana. Ulipaswa kueleza jambo la maana
Hujamuelewa! Shambani kwako, anga na ardhi chini na vilivyomo ni vyako. serikali ikivitaka inakulia fidia, siyo kukuhamisha say wakipata madini hufidiwi!"2. USIMAMIZI WA ARDHI: Chadema itaanzisha mfumo wa umiliki wa ARDHI ambapo kila MWANANCHI atamiliki ardhi na rasilimali zake JUU na CHINI ya ARDHI hiyo. TOFAUTI na CCM, Chadema HAKIAMINI katika KUFUKUZA watanzania kwenye ARDHI YAO kufuatia UGUNDUZI wa MADINI."
===========================
Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.
View attachment 880155
Huo ubinafsi umeshindwa kuwatoka.
Hapo issue ingekuwa mtu kulipwa fair price na vingewekwa vigezo vinavyoweza kutoa tathimini halisi. Umiliki wa ardhi ubaki kwa jamhuri . Yanahitajika marekebisho tuidawa nadhani utakua haujamuelewa vizuri Halima Mdee, sheria ya Ardhi nchini inampa mamlaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumpa/kumnyang'anya/kumuongezea hati ya umiliki/kubatili haki ya umiliki kwa mtu yoyote anaemiliki ardhi kwa ridhaa/bila ridhaa yake, na kwa kumlipa fidia au bila kumlipa fidia.
Mara nyingi Ardhi inapogundulika kua ina madini au rasilimali nyingine chini, wananchi hua wanahamishwa kwa kulipwa fidia ya ARDHI tu (na si fidia za rasilimali iliopo katika ardhi yake au thamani ya kiwanja baada ya kugundulika kwa hizo rasilimali).
Mfano,
Una kiwanja, umekinunua Sh Milioni 1, kikagundulika kina madini ya dhahabu chini, utapewa hela ulionunulia hicho kiwanja na maendeleo uliofanya katika hicho kiwanja tu (kama vile kujenga nyumba, kupanda miti n.k) ila hautapewa fidia ya thamani ya hicho kiwanja baada ya ugunduzi wa hayo madini. Kawaida kiwanja hupanda thamani baada ya kugundulika kua kina rasilimali.
IT WILL NEVER HAPPEN WALAHIHii sera itatzua vita vya wenyewe kW wenyewe maana matajiri wamiliki ardhi kubwa huku wanyinge wakibakia bila ardhi.Matokeo yake itakua ni machafuko ndani ya nchi vita vya kugombea ardhi .Chadema itasababisha umwagaji wa damu Sera hii ni mbaya kwa Amani ya Tanzania.
IT WILL NEVER HAPPEN WALAHI
Why worry kwa kitu cha ovyo ovyo?