Hamna Degree Pale huwezi Ukaitwa Doctor mwenye Phd halafu ukashindwa Kutamka neno "Entrepreneur" ukasema "Intaprenyuaaaa" hiyo Ni Fedheha Kwa Mungu na Kwa Binadamu.Mkuu kwani ulishawahi kuona machapisho ya ile degree?
acheni kulalamika mninywa,badilisheni aina ya siasa,sio laza mfanye maandamano mkuuMkuu huu mkono wa chuma ulivyo tuminya we are fighting for survival. Ukituona tuko hai shukuru kama una mapenzi mema na sisi.
Kitambulisho cha machinga kitakuwa historia. Kunyonya wanyonge ni mwiko.
Hela ipo?Elimu bora ya bure moaka chuo kikuu
Siasa ni mwanaharamu anakufanya ufanye vitu ulivyojiapisha hutavifanyaNdio maana sasa hivi wanafanya ushirika wa kishirikina. Eti kuna mtu amerudi nyumbani na asiulizwe amerudi kufanya nini [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Sasa hivi jiwe yuko kama kambale ambaye maji ya kwenye dimbwi yanamalizikia. Kiburi cha madaraka kinamtokea puani hadi anaanza kulamba makalio ya mahasimu wake, hasa yule waliyekuwa wanaimba wana imani naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeKwanza tutashusha bei ya vifaa vya ujenzi kila mwananchi ajenge nyumba bora, tutashusha bei ya pembejeo za kilimo, mkulima tutamruhusu kuuza mazao yake popote atakapo duniani. Shule zote zitaanza kufundisha kwa kiingereza tena bure toka chekechea isipokiwa somo jipya la uzalendo (siasa na uraia) ndio yatafundishwa kwa kiswahili. Itakuwa ni marufuku mtoto wa rais, mbunge, diwani, au mtumishi wa umma kusoma shule za binafsi. Utaratibu huu mpya wa elimu utaanza ndani ya miaka mitatu.
Diaspora watapewa Uraia pacha..Kila zama was kitabu chake. Old man amepeleka mabadiliko CCM.
Muulize kwanza Magu iyo apa kazi tu inakidhi vip hayo maswali yote uliyouliza na pia utupe takwimu za kwamba imepunguzaje umaskini na kwa kiasi gani pia usisahau kuuliza kwamba iyo apa kazi tu imetusaidiaje wote sisi kufaidi cake ya taifaSasa mkuu ndo utuweke wazi na hiyo sera mbadala uku ukiusianisha ni kwa namna gani hiyo national cake tutaifaidi wote. Lakini kama ikiwezekana tuoneshe mipango mikakati ya sera mbadala ya kuweza kupunguza au kufuta umaskini.
Subiri mkuu tusisemekane tumeanza kampeni kabla ya muda
Kwanza tutashusha bei ya vifaa vya ujenzi kila mwananchi ajenge nyumba bora, tutashusha bei ya pembejeo za kilimo, mkulima tutamruhusu kuuza mazao yake popote atakapo duniani. Shule zote zitaanza kufundisha kwa kiingereza tena bure toka chekechea isipokiwa somo jipya la uzalendo (siasa na uraia) ndio yatafundishwa kwa kiswahili. Itakuwa ni marufuku mtoto wa rais, mbunge, diwani, au mtumishi wa umma kusoma shule za binafsi. Utaratibu huu mpya wa elimu utaanza ndani ya miaka mitatu.
Kupunguza umasikini ni pamoja na kuzuia umalaya wa kisiasa chadema hawawezi kuruhusu huu upuuzi. Ni lazima tuwe na fair ground kwa vyama vyote ili kustawisha demokrasia na maendeleo hapa nchiniSasa mkuu ndo utuweke wazi na hiyo sera mbadala uku ukiusianisha ni kwa namna gani hiyo national cake tutaifaidi wote. Lakini kama ikiwezekana tuoneshe mipango mikakati ya sera mbadala ya kuweza kupunguza au kufuta umaskini.