Sera Mbadala ndiyo slogan yetu ya uchaguzi 2020

Hata ikibidi hiyo wizara ya sheria iwe chini ya ofisi ya rais ili iwe rahisi kufuatilia
Na tunaheshimu mikataba kwakua rais ni mbobezi wa sheria. Hatakarupuka tu na kuvunja mikataba.

In God we trust
 
Nasisitiza Ajira kwa vijana litiliwe mkazo haswa. Maama wanacheza na maisha ya vijana hawawezi kutangaza Ajira 4000 za ualimu huku wakijua kuna nitake 4 zipo mtaani. Si diploma, cheti wala bachelor.
 
View attachment 1044201

Sera Mbadala na Tundu Lissu 2020.

Tumechoka kukumbatia umasikini na kuona wachache wakifaidi keki ya Taifa.

Tunakuja na Sera Mbadala.

Kitambulisho cha machinga kitakuwa historia. Kunyonya masikini ni mwiko.

Mkuu kwa maelezo yako haya na Sera zenu Mbadala hizi za Uwongo na Kweli ndiyo mnadhani ' mtawaokota ' Watanzania wawaamini na wawapigieni Kura hiyo 2020? Halafu kwa aina ya IQ Kubwa uliyonayo na ukiwa ni Mmoja wa Members ninaowakubali sana na mno hapa JamiiForums baada ya Kugundua hufanani Kiakili na wana CHADEMA wengi ninaowajua hapa ambo ni ' Nkululu ' na ' Lopolopo ' watupu sijui kwanini hutaki Kuhamia huku wa ' Majiniasi ' Wenzako waliotukuka CCM ili kwa pamoja tuweze Kumsaidia Mwenyekiti wetu Taifa wa CCM, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili aweze Kuiongoza vyema Tanzania kama ambavyo anafanya sasa. Kama Mkongwe Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Edward Ngoyai Lowassa amerudi Nyumbani CCM ambako ' Kumenoga ' kwanini Wewe pia usimuige huyo aliyekuwa mwana CHADEMA mwenzako? Unaniangusha sana Mkuu hebu nakuomba hamia CCM tafadhali huko uliko ( CHADEMA ) unapoteza tu muda wako bure na unaweza hata ' Ukazeeka ' wakati muda wako wa Kuzeeka bado haujafika.
 
Karibu mkuu huku si lazima uwe wa kanda ile ili kupata nafasi.
 
Back
Top Bottom