900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,474
- 11,541
2020 mbona kitaeleweka tu,Sera Mbadala na Tundu Lissu 2020.View attachment 1044201
Sera Mbadala na Tundu Lissu 2020.
Tumechoka kukumbatia umasikini na kuona wachache wakifaidi keki ya Taifa.
Tunakuja na Sera Mbadala.
Kitambulisho cha machinga kitakuwa historia. Kunyonya wanyonge ni mwiko.