Sera Mbadala ndiyo slogan yetu ya uchaguzi 2020

Sera Mbadala ndiyo slogan yetu ya uchaguzi 2020

Kumbuka hakuna ukombozi unao kuja kama mvua ya masika

In God we trust
Ndio maana sasa hivi wanafanya ushirika wa kishirikina. Eti kuna mtu amerudi nyumbani na asiulizwe amerudi kufanya nini [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Sasa hivi jiwe yuko kama kambale ambaye maji ya kwenye dimbwi yanamalizikia. Kiburi cha madaraka kinamtokea puani hadi anaanza kulamba makalio ya mahasimu wake, hasa yule waliyekuwa wanaimba wana imani naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True ....

Tume huru, katiba mpya , uchumi na uwekezaji kwenye kilimo na mazingira bora ya kufanya kazi na biashara.
Kutawala nchi ni kazi rahisi sana kama utafuata misingi ya kuheshimu katiba na sheria.

Sasa hivi hata hatujui tunakwenda wapi na tumefika wapi, kuchimba dawa kwenyewe hadi kusindikizwa kwa mtutu.. kha!!
 
Chadema bhana kwahiyo Sera Mbadala ndio hilo basi la kubebea wagonjwa alilopewa Tundu Antipas Lisu na yule mwanandinga Samatta!
Huku ndiko kuhaha na kuweweseka. Basi linahusikaje na sera? Huna lolote. Mnaogopa nini wakati ninyi mko kwenye kampeni mara tu baada ya uchaguzi mkuu 2015? Wananchi wanawakubali halafu mnakuja huku kuhangaika nini? Mtulie ili muwape za uso muda muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudhulumu wakulima wa korosho ni MWIKO. Wafanyakazi wa serikali miaka minne bila nyongeza ya mshahara ni MWIKO. Kimbiza huyo kubwa la majizi pale magogoni.

View attachment 1044201

Sera Mbadala na Tundu Lissu 2020.

Tumechoka kukumbatia umasikini na kuona wachache wakifaidi keki ya Taifa.

Tunakuja na Sera Mbadala.

Kitambulisho cha machinga kitakuwa historia. Kunyonya wanyonge ni mwiko.
 
Kudhulumu wakulima wa korosho ni MWIKO. Wafanyakazi wa serikali miaka minne bila nyongeza ya mshahara ni MWIKO. Kimbiza huyo kubwa la majizi pale magogoni.
Walivo wajinga watapanda majukwaani waseme wapinzani walifanya uhujumu. Fikiria walichukua korosho za watu, baada ya kubuma wakawaambia wakafuate wenyewe hizo korosho zao wakati serikali ndio walisafirisha. Kama siyo ushirikina ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufanya Mabadiliko Makubwa kwenye jeshi la Polisi Upelelezi kufanyika kisayansi zaidi
Mabadiliko Mengine ni Polisi waheshimu haki za Binadamu.

Lisitumike kama Wanamgambo wa Interahamwe.
 
Chedema Kumenoga 2020 Lissu na Sera Mbadala
 
hamueleweki,mwaka jana mlizimua sera zenu,sasa mnakuja na sera mbadala,na hatusikii tena ukawa
Mkuu huu mkono wa chuma ulivyo tuminya we are fighting for survival. Ukituona tuko hai shukuru kama una mapenzi mema na sisi.
 
Mambo yanayoendelea nchini sasa hivi yanasikitisha na kushangaza sana na inaudhi mno kuona huyu kichaa anavyoogopwa na wastaafu, baraza la mawaziri na wabunge wa ccm wanahofia kumwambia kwamba anapoipeleka nchi siyo kabisa.

Hawa hawajui kwamba Tanzania ikivurugika kiuchumi na kimshikamano nao pia wataathirika sana tu.

Kwa upumbavu wao wanasemea pembeni badala ya kumconfront huyu kichaa kwa wingi wao.

Walivo wajinga watapanda majukwaani waseme wapinzani walifanya uhujumu. Fikiria walichukua korosho za watu, baada ya kubuma wakawaambia wakafuate wenyewe hizo korosho zao wakati serikali ndio walisafirisha. Kama siyo ushirikina ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yanayoendelea nchini sasa hivi yanasikitisha na kushangaza sana na inaudhi mno kuona huyu kichaa anavyoogopwa na wataafu, baraza la mawaziri na wabunge wa ccm kwamba anapoipeleka nchi siyo kabisa.
Hawa hawajui kwamba Tanzania ikivurugika kiuchumi na kimshikamano nao pia wataathirika sana tu.

Kwa upumbavu wao wanasemea pembeni badala ya kumconfront huyu kichaa kwa wingi wao.
Tanzania sasa hivi uko huru kumtukana Mungu lakini si kumkashifu jiwe.
 
Mambo yanayoendelea nchini sasa hivi yanasikitisha na kushangaza sana na inaudhi mno kuona huyu kichaa anavyoogopwa na wataafu, baraza la mawaziri na wabunge wa ccm kwamba anapoipeleka nchi siyo kabisa.
Hawa hawajui kwamba Tanzania ikivurugika kiuchumi na kimshikamano nao pia wataathirika sana tu.

Kwa upumbavu wao wanasemea pembeni badala ya kumconfront huyu kichaa kwa wingi wao.
Ni mbwa na chatu. Nina wasiwasi tutamchukiza hata Mungu kwa hiki kiwango cha unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
View attachment 1044201

Sera Mbadala na Tundu Lissu 2020.

Tumechoka kukumbatia umasikini na kuona wachache wakifaidi keki ya Taifa.

Tunakuja na Sera Mbadala.

Kitambulisho cha machinga kitakuwa historia. Kunyonya wanyonge ni mwiko.
Tuko Pamoja 2020 ni TUNDU LISSU. Sera Mbadala Ndio Mahali Pake Huwezi Kujinasibu na Uchumi wa Viwanda Vya Cherehani na Kuzindua Ukuta na Vyoo hahaha.

"kinacho Sura,Kina Kisogo"
 
Tuko Pamoja 2020 ni TUNDU LISSU. Sera Mbadala Ndio Mahali Pake Huwezi Kujinasibu na Uchumi wa Viwanda Vya Cherehani na Kuzindua Ukuta na Vyoo hahaha.

"kinacho Sura,Kina Kisogo"
MakampunI ya gesi yapewe ruzuku ili yaweze kusambaza gesi mpaka vijijini na wananchi wakopeshwe majiko ya gesi. Hili litasaidia kupunguza mahitaji ya kuni na mkaa na kuokoa misitu yetu.
 
MakampunI ya gesi yapewe ruzuku ili yaweze kusambaza gesi mpaka vijijini na wananchi wakopeshwe majiko ya gesi. Hili litasaidia kupunguza mahitaji ya kuni na mkaa na kuokoa misitu yetu.
Ukitaka kujua CCM ni Vilaza A.k.a wazee wa Kucopy na Kupaste subiri Uone 2020 watakavyochukua Sera za Chadema na Kupanda nazo Majukwaani.

"kinacho Sura,Kina Kisogo"
 
Back
Top Bottom