Sera Mbadala ndiyo slogan yetu ya uchaguzi 2020

Sera Mbadala ndiyo slogan yetu ya uchaguzi 2020

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,421
1552416015943.png

Sera Mbadala na Tundu Lissu 2020.

Tumechoka kukumbatia umasikini na kuona wachache wakifaidi keki ya Taifa.

Tunakuja na Sera Mbadala.

Kitambulisho cha machinga kitakuwa historia. Kunyonya wanyonge ni mwiko.
 
View attachment 1044201

Sera Mbadala na Tundu Lissu 2020.

Tumechoka kukumbatia umasikini na kuona wachache wakifaidi keki ya Taifa.

Tunakuja na Sera Mbadala.
Sasa mkuu ndo utuweke wazi na hiyo sera mbadala uku ukiusianisha ni kwa namna gani hiyo national cake tutaifaidi wote. Lakini kama ikiwezekana tuoneshe mipango mikakati ya sera mbadala ya kuweza kupunguza au kufuta umaskini.
 
ikitoka hapa kazi tu, iwekwe hapa kasi tu kuonesha kazi imefanyika na maendeleo yanaonekana kwa kasi
 
Sasa mkuu ndo utuweke wazi na hiyo sera mbadala uku ukiusianisha ni kwa namna gani hiyo national cake tutaifaidi wote. Lakini kama ikiwezekana tuoneshe mipango mikakati ya sera mbadala ya kuweza kupunguza au kufuta umaskini.

Kwanza tutashusha bei ya vifaa vya ujenzi kila mwananchi ajenge nyumba bora, tutashusha bei ya pembejeo za kilimo, mkulima tutamruhusu kuuza mazao yake popote atakapo duniani. Shule zote zitaanza kufundisha kwa kiingereza tena bure toka chekechea isipokiwa somo jipya la uzalendo (siasa na uraia) ndio yatafundishwa kwa kiswahili. Itakuwa ni marufuku mtoto wa rais, mbunge, diwani, au mtumishi wa umma kusoma shule za binafsi. Utaratibu huu mpya wa elimu utaanza ndani ya miaka mitatu.
 
Back
Top Bottom