Sera Mbadala ndiyo slogan yetu ya uchaguzi 2020

Sera Mbadala ndiyo slogan yetu ya uchaguzi 2020

in Lissu we trust.....2020 its Lissu:-
1. Muwajibikaji
2. Mzalendo numberi one
3. Mwana Diplomasia na Mwanasheria mbombezi
4. Mwanasiasa kijana nguli wa Africa na Dunia nzima
5. Mtetezi wa wanyonge

Mimi nipo tayari, lets go....what are u waiting 4 ? Hapa kazi tu ishafeli, na ile safari ya matumaini ya babu wala haijawahi hata kuanza.., Mtanzania changanya na za kwako..
 
Watu watakufa kwa pressure

In God we trust
 
Subira yavuta kheri
Sasa mkuu ndo utuweke wazi na hiyo sera mbadala uku ukiusianisha ni kwa namna gani hiyo national cake tutaifaidi wote. Lakini kama ikiwezekana tuoneshe mipango mikakati ya sera mbadala ya kuweza kupunguza au kufuta umaskini.

In God we trust
 
Pamoja sana
Kwanza tutashusha bei ya vifaa vya ujenzi kila mwananchi ajenge nyumba bora, tutashusha bei ya pembejeo za kilimo, mkulima tutamruhusu kuuza mazao yake popote atakapo duniani. Shule zote zitaanza kufundisha kwa kiingereza tena bure toka chekechea isipokiwa somo jipya la uzalendo (siasa na uraia) ndio yatafundishwa kwa kiswahili. Itakuwa ni marufuku mtoto wa rais, mbunge, diwani, au mtumishi wa umma kusoma shule za binafsi. Utaratibu huu mpya wa elimu utaanza ndani ya miaka mitatu.

In God we trust
 
Pia ujue kuna hatari ya wenye udhaifu wa kutunga sera mzuri wakaiba sera zetu
Nadhani ni Hoja nzuri sana kuazia huku Jukwaani maana huko Kitaani Tunabinywa tukijifanya kusubiri watakuja kutuvuruga.

In God we trust
 
Kufuta Sheria Kandamizi,Kodi rafiki,,kuruhusu Uraia Pacha,Kushikisha wananchi katika kuchunga Mazingira,kuondoa kero zote za Muungano,Uwazi katika Mikataba ya Serikali na Wawekezaji,Tume huru kwelikweli,Matokeo ya Kura za Uraisi kupingwa Mahakamani,Raisi Kushitakiwa Wakuu wa mikoa kuchaguliwa au kufutwa kabisa.
 
Back
Top Bottom