bmk
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 571
- 861
well doneKwanza tutashusha bei ya vifaa vya ujenzi kila mwananchi ajenge nyumba bora, tutashusha bei ya pembejeo za kilimo, mkulima tutamruhusu kuuza mazao yake popote atakapo duniani. Shule zote zitaanza kufundisha kwa kiingereza tena bure toka chekechea isipokiwa somo jipya la uzalendo (siasa na uraia) ndio yatafundishwa kwa kiswahili. Itakuwa ni marufuku mtoto wa rais, mbunge, diwani, au mtumishi wa umma kusoma shule za binafsi. Utaratibu huu mpya wa elimu utaanza ndani ya miaka mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app