SENSA YA members WOTE WA CHIT-CHAT.

SENSA YA members WOTE WA CHIT-CHAT.

hebu oneni Asprin anavyofanya ukaguzi, ile Dadavuzi Mpakato kashaiweka kando...

419804_352381358107844_462383090_n.jpg
 
Hakyamungu vukani nilipoona ID yako hata singeweza kukisia kama ni ME au KE. Type ya ID kama yako ndio hasa zinatatiza humu. Thanx though. By the way uko singo au double?

Nipo nae kwani kuna problemee...
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na baadhi ya members kuwa na IDs ambazo ni unisex, naomba hapa uweke hapa jinsia yako ili hii tabia ya ku-approach mwanaume mwenzako ife. Nadhani members mtalielewa hili nami naanza kwa kusema mimi ni MWANAUME WA KIUMENI. Tupiamo jinsia yako

Mie msela chalii angu
 
Arushaone lengo lako ni sensa au kujua jinsia ili uzidi kutongoza?????


Shauri yako watu wana IDs zaidi ya mbili, moja ya kike nyingine ya kiume, utaingizwa chaka mpaka ushangae.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone lengo lako ni sensa au kujua jinsia ili uzidi kutongoza?????


Shauri yako watu wana IDs zaidi ya mbili, moja ya kike nyingine ya kiume, utaingizwa chaka mpaka ushangae.

Shauri yako watu wana IDs zaidi ya mbili, moja ya kike nyingine ya kiume, utaingizwa chaka mpaka ushangae/hapo umenena mkuu.nimeona hata baba v kaingia na id ya mama v.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom