SENSA YA members WOTE WA CHIT-CHAT.

SENSA YA members WOTE WA CHIT-CHAT.

Arushaone Hili jukwaa lako limejaa ulimbwende,member mleta thread amekuja na post ya kutaka kujua ama kila member aje na jinsia yake humu lakini utafikiri hajasomeka ama lugha imekuwa ngumu nini?

Kila member wa jukwaa tajwa aje na jinsia yake full na ndiyo nia ya Arushaone.
 
Last edited by a moderator:
orait orait....sasa ukimaliza sensa hii....naomba uweke na wale single wote....ili tujuwane.....tufahamiane......tuelewane......tuzungumze.....
umesikia....?
 
Kuna watu wa aina mbili 1.Single na 2.wajane(walioachika ama kutemwa)



orait orait....sasa ukimaliza sensa hii....naomba uweke na wale single wote....ili tujuwane.....tufahamiane......tuelewane......tuzungumze.....
umesikia....?
 
Kutokana na baadhi ya members kuwa na IDs ambazo ni unisex, naomba hapa uweke hapa jinsia yako ili hii tabia ya ku-approach mwanaume mwenzako ife. Nadhani members mtalielewa hili nami naanza kwa kusema mimi ni MWANAUME WA KIUMENI. Tupiamo jinsia yako

Kiwanda cha Mapacha Mapacha...aaa kidume cha mbegu..
 
orait orait....sasa ukimaliza sensa hii....naomba uweke na wale single wote....ili tujuwane.....tufahamiane......tuelewane......tuzungumze.....
umesikia....?

Umenena lililo jema. Libarikiwe tumbo lililokutunza miezi 9. Pia apewe sifa aliyekufundisha...
 
Angalia watu wasije wakatoa wrong data kwenye sensa.

Hapo sasa Nicas Mtei ndipo nawaomba members wawe fair kusema jinsia zao za kweli. Mara wengine wanajiita wanawake rijali! Jamaniii khaa!
 
Last edited by a moderator:
Mimi babu jinsia yangu ni uzee.

Karibuni vijana.
 
aiseeeeee babaangu mkuu rombo dume la mbegu aka tembo dume
 
Hawa nao ni jinsia gani??

Very-Funny-Moments-In-Sport-23.jpg
funny-moments-sports-4.jpg
 
Back
Top Bottom