SENSA YA members WOTE WA CHIT-CHAT.

SENSA YA members WOTE WA CHIT-CHAT.

Si ushamtaliki?now she is free agent

Unauliza leo!?? hakumtaliki, alitoka mbio mwenyewe, ni miongoni mwa matukio yaliyonifanya niunde tume, sio mtu anajifanya flani wangu wangu afu mziki ukiwa mnene anakimbia, sa ivi tutakuwa tunawafunga na minyororo hakuna kukimbia, ukianzisha mziki lazima uucheze to the end
 
Back
Top Bottom