Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
kuna jambo sijalielewa hapa; aliesema msihesabiwe ni Ponda au Muhamad?
njiwa pamoja kwamba wewe ni sehemu ya Members wajinga wajinga hapa JF lakini unakwenda too low like this!! kutuletea magazeti ya Shigongo Jukwaa la siasa? kwahiyo na wewe unaamini JK alimuita Diamond Ikulu kumtuma kwenda kutumbuiza jana kwenye uzinduzi wa tawi la CCM DMV?
bora sisi tunaongozwa na kipofu kuliko nyinyi mnaongozwa na watu wa aina hiii
![]()
Mkuu usife moyo ilimradi hukuwa na nia mbaya utahesabiwa tu, hata mimi kwangu hawajafika mpaka mida hii na nasubiri kama wewe
ALHAMDULILAHI. NIMEFAULU MTIHANI WA IMANI YANGU. NASHUHUDIA KUA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISPOKUA ALLAH(S.W) NA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NI MJUMBE WAKE. LEO TAREHE 26 August,2012, mida ya 11:57 jioni, nimekataa kuandikishwa katika SENSA. NA AHIDI KUA NITABAKIA MUISLAMU MTIIFU KWA MOLA WANGU, NA VIONGOZI WENYE MAMALAKA MIONGONI MWETU SISI WAISLAMU. NIKOTAYARI KUITUMIKIA DINI YANGU YA KIISLAMU WAKATI WOWOTE NA MAHALA POPOTE NITAPO HITAJIKA. SIO GOPI MANENO WALA RISASI ZA MOTO. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. RABI TAKABALI.
Mbwembwe zote za nini hizi? ni nani alyekwambia anafuata chai kwako? sensa si lazima uwepo nyumbani mimi nilikuwa peke yangu nyumbani lakini kaya yangu wote wamehesabiwa ni mimi ndio nilikuwa natowa maelezo yao. au wewe ni muhaya?
mashallah, hongera sana.
ALLAH akuzidishie kheri.
Tuko pamoja ndugu yangu.
Dhulma tunayofanyiwa itakwisha karibuni, tuendelee kupambana.
Nielewe nini, huyo Allah wako au Mr Muhamad. Bora kuabudu mbuyu kuliko allah
Mbona siye hatujahesabiwa. Mi sijagoma atii!
Unajisifia kujamba sokoni jitambueALHAMDULILAHI. NIMEFAULU MTIHANI WA IMANI YANGU. NASHUHUDIA KUA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISPOKUA ALLAH(S.W) NA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NI MJUMBE WAKE. LEO TAREHE 26 August,2012, mida ya 11:57 jioni, nimekataa kuandikishwa katika SENSA. NA AHIDI KUA NITABAKIA MUISLAMU MTIIFU KWA MOLA WANGU, NA VIONGOZI WENYE MAMALAKA MIONGONI MWETU SISI WAISLAMU. NIKOTAYARI KUITUMIKIA DINI YANGU YA KIISLAMU WAKATI WOWOTE NA MAHALA POPOTE NITAPO HITAJIKA. SIO GOPI MANENO WALA RISASI ZA MOTO. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. RABI TAKABALI.
Wajinga ndio waliwao,kataeni kuhesabiwa sisi tunaendelea kujenga vyuo na mashule!Sishangai Wamarekani wanachofanya Uarabuni hawa watu si wa kuvumilia jamani what they believe is diferrent from what they do
Umesema vyema, hatuna tofautiWewe na mtoa mada awala hamna tofauti.....!!
Re: SENSA IMENIINGIZIA HASARA
Nimeamka mapema leo nikasema hata kanisani siendi. Nikajiandaa kufanyafanya usafi geto nkaandaa chai na mikate nkapaka mingine jam, peanut butter na mingine blubendi ile ya prestige. Chai niliandaa thermos moja ya rangi ingine maziwa.
Nikaenda kuoga kabisa nikaa kwenye kochi nasoma zangu kitabu cha "Tough times never last, but tough people do" by Robert H. Schuller.
Nimengoja weeeee mpaka saa nne nikampigia rafiki yangu anakaa pale karibu na ferry kabisa kumuuliza vipi labda wameanzia uko kwao so wamechelewa. Akanijibu bado. Basi nikasema watafika mchana.
Nikaenda sokoni fasta wasije wakanikosa wakija...nkanunua maini nusu kilo jamaniiii...nusu kilo maini unajua ni buku nne??! Dah ngoja nifute machozi...
Nkaja home fasta nkamuliza shem wamepita? Akanambia bado nkafurai mm basi fasta nkaingia jikoni kuandaa msosi..ugali maini na mboga ya mchicha pembeni food for four pipoz...
Nkafunika kwa hotpot kabisa. Sa sita..saba..nane..tisa..kumi...kumi namoja na sasa ni 17:43.
Muda wangu wa kwenda mazoezi umepita sijaenda nkidhan watakuja wasinikute. Mechi ya watani zangu Arsenali sijaenda kuangalia kisa wao...
Kwanini lakini wananifanyia ivi? Huku kigamboni vipi hampiti? Mmegoma? Mnawaogopa wapemba ama? Kwann lakini mmeniingiza hasara ivi..kama hamji si mngesema..
Mwenyekiti wa mtaa asubuhi alikua amefunga ofisi..nimepita apo mida hii kuna prado ipo nje wako ndan na nani sijui au mnataka kupika matokeo ya kigamboni?? Wallahi kama sihesabiwi haponi mtu...
Nmemwaga chai ile..naosha vyombo sasa. Najishauri mechi ya liverpool nikaichek ama nisiende? Je bado watakuja? Wanafunga kazi saa nhapi?
Kuanzia jumatatu ntakua natoka kazini jioni mno sasa itakuaje??
Dah...na hii lunch nan atansaidia kula? Heri ningepika wali ningeweka kwa fridge..sasa ugali naufanyiaje mm??!
Wai...jamanieee waambieni wavuke basi.
Au watanikuta kibanda cha kuoneshea mpira. Siezag kuqngalia mpira kwangu mm...inaboa.
Nalog off...mia. Heheh
ALHAMDULILAHI. NIMEFAULU MTIHANI WA IMANI YANGU. NASHUHUDIA KUA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISPOKUA ALLAH(S.W) NA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NI MJUMBE WAKE. LEO TAREHE 26 August,2012, mida ya 11:57 jioni, nimekataa kuandikishwa katika SENSA. NA AHIDI KUA NITABAKIA MUISLAMU MTIIFU KWA MOLA WANGU, NA VIONGOZI WENYE MAMALAKA MIONGONI MWETU SISI WAISLAMU. NIKOTAYARI KUITUMIKIA DINI YANGU YA KIISLAMU WAKATI WOWOTE NA MAHALA POPOTE NITAPO HITAJIKA. SIO GOPI MANENO WALA RISASI ZA MOTO. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. RABI TAKABALI.