Sensa 2012: Yanayojiri

Sensa 2012: Yanayojiri

Nipo nyumbani toka asubuhi sijaona karani wa sensa naenda kula Heineken now
 
zoezi Dar limefeli kabisa waislam wengi bado wamesimamia msimamo wao wa kutohesabiwa, nimepita misikitini nimekuta watu wengi wakiendelea na ibada kwa siku saba, mfano kata ya magomeni nyumba zilizoandikwa ni 30 kwa mujibu wa karani wa sensa nyumba nyingi hawataki kuandikishwa.

We mnafiki zaidi ya Ponda
 
Nimesubiri kuhesabiwa tangu asubuhi hapa Mbezi beach mpaka mida hii hakuna cha karani wala mjube kapita,sasa najiuliza kama wasipokuja leo itakuwaje maana mimi na mume wangu ni watu wa kuhangaika na tukitoka wote kunabaki mlinzi?

Watakuja tu
kama vipi nenda kwa mwenyekiti uulize
hongera kwa kuwa Platinum member
 
Nimesubiri kuhesabiwa tangu asubuhi hapa Mbezi beach mpaka mida hii hakuna cha karani wala mjube kapita,sasa najiuliza kama wasipokuja leo itakuwaje maana mimi na mume wangu ni watu wa kuhangaika na tukitoka wote kunabaki mlinzi?

mkitoka mnaacha taarifa kwa mlinzi....
 
Wacha ulongo mi pamoja na familia yangu tumehesabiwa pamoja na majirani na wote ni waislamu
 
Dah....!! Sasa wale waliokuwa na madada poa ilikuwaje? Nao wanahesabiwa??

Si afadhali ya midume waliokuwa na madada poa, je umkute dume yuko na Anti Katavi ama Anti Mudi, hapo sijui itakuwaje!
 
unatamaaaani eeeh zoezi lifeli?????

Wenzio wamehesabiwa, na sehemu ambazo makarani hawajafika wananchi wamevuta subira kuwasubiria wapite.....
 
Mpaka sasa, idadi kubwa ya waislamu wamegoma laivu bila kujificha. Msikubali kudanganywa. Watu wengi nilio ongea nao wameniambia wamekataa kuandikishwa. Nimeaongea na mwandishi mmoja wa sensa akaniambia hali ni tete serekali imekula hasara kwa kiburi chao. Tunasubiri mswada bungeni wa kutokua na imani na rahisi. Tuchague raisi mwengine.

551633_279319032169526_1913081750_n.jpg
 
sensa ya mwaka huu ya uongo bora wangeairisha tu.!
 
Hao waliogoma ni sawa na tone la maji baharini, hawataathiri chochote. Ujinga mtupu!
 
Watakuja tu
kama vipi nenda kwa mwenyekiti uulize
hongera kwa kuwa Platinum member

Nimekwenda kwa mjumbe sijamkuta nilitaka nimwachie details za familia yangu. Platnum member yes ilibidi nisitishe shopping na mambo mengine ili nichangie JF!
 
mzimu una uhakika na taarifa yako?!
Mtaani kwetu ni wengi waislam na wamekubali kuhesabiwa!

Hao wanogoma ni wajinga wanaofuata mkumbo!

Ndugu yangu sijui nikwambieje. You are so brain washed. Sensa hii, ijue idadi ya walemavu, idadi majumba ya ibada, idadi ya mifugo. Lakini sio idadi ya watu kwa mujibu ya dini zao. Vipi serekali itapanga mipango yake in focus of the diversity of its people. Nini kimepelekea kuchinja pundamilia kwa wadzabe kama wasingejua the diversity of the tribe. Yaani kama hili ni swali umeulizwa darasani halafu ukalijibu bila kujumuisha kipengele cha dini. Sidhani kama ungelifaulu kwa kiwango cha juu. Yaani kutokujua watu kulingana na dini zao sio logic ya sensa yoyote duniani. Nadhani wewe hapa ndio mjinga. Brain washed.

 
Mpaka sasa, idadi kubwa ya waislamu wamegoma laivu bila kujificha. Msikubali kudanganywa. Watu wengi nilio ongea nao wameniambia wamekataa kuandikishwa. Nimeaongea na mwandishi mmoja wa sensa akaniambia hali ni tete serekali imekula hasara kwa kiburi chao. Tunasubiri mswada bungeni wa kutokua na imani na rahisi. Tuchague raisi mwengine.

Mkuu hapo kwenye Bold..., ikila hasara sio sababu ya kiburi chao ni sababu ya kuwa legelege na kutokuwa shupavu.., hao wote wanaoleta migomo na kutaka kubadilisha vipengele serikali ingekuwa shupavu ni wa kutia ndani na sio kubembelezana....

Kama watu na imani zao wanataka kujua idadi zao ili wajenge misikiti na makanisa wahesabiane wao kwa wao kwenye misa na sala zao.., serikali haipo hapa kujenga makanisa, misikiti au kugawa biblia wala quran
 
Mimi na familia yangu si wa-isilamu lakini hatujaesabiwa, nimekaa nyumbani mpaka nimechoka sasa: Ngoja niende mitaani kucheki mechi.
tabata in Dar es salaam

Umem-mislead shemeji angu, hawakusema mkae nyumbani tu, hili zoezi ni la siku saba PrN! hebu mtoe kwanza shem hii game ya liva na mancity sio ya lazima sana leo, esp baada ya kufungia ndani familia yako kwa masaa yote hayo
 
Back
Top Bottom