Sensa 2012: Yanayojiri

Sensa 2012: Yanayojiri

Kikwete amewakejeli waislamu waliojifungia misikitini..

Mie nimewaandalia UGALI makarani..najua watakua na njaa hela waliopewa ishaisha.
 
Mwanaume tayari............. na my your wifemambo mswanooooooooooo!!!!!!:humble:
 
Nyerere hakutaifisha shule za wakristo kwa malengo yakuku za elimu ndiomana hadi sasa makanisa yanakauli ktk shule hizo zaidi ya serikali!
 
Hongera JK na familia yako kukamilisha zoezi la kuhesabiwa wewe na familia yako.Aidha ruksa kwa makundi yoyote yanayotaka kutangaza takwimu zao za sensa hadharani ili mradi kisiwe ni chombo cha Serikali.Hilo ulilolisema kwenye mahojiano yako na vyombo vya habari ujumbe umefika. Swadakta.Udadadeki mwenye macho haambiwi tazama.
 
mbona hawajaja getto? mimi nakula kona bana kama vipi watanihesabu kwenye daladala. mia

Mwenyewe nashangaa mpaka sasa hawajaja sijui wanataka nini hawa jamaa au mgomo Baridi nini?? Mda si mrefu mie nasepa pia!!
 
Sensa ya watu imesababisha train ya kati kusimamishwa na wahesabuji wa sensa katikati ya safari wakidai watu wahesabiwe wote ndani ya train ndiyo iendelee na safari je huo ndiyo ustaarabu wa sensa?

Tupe utaratibu unaofikiri unafaa, wewe ulitaka wahesabiwe wapi?
 
Ha ha haa, da, hii nchi haishi vituko, wengine wamekesha Misikitini hawataki kuhesabiwa, wengine wamelala baa, wengine wapo nyumbani wanasubiri. Wengine sisi tunapiga issue zetu tu, hatuna mudaaaaaa!
 
Katika hali ya utulivu kabisa majira ya saa 2:36 leo [26/08/2012] asubuhi amekuja karani wa sensa na kujitambulisha kwangu na kueleza kilichomleta.

Bila kusita nimempa ushirikiano mzuri sana na kumwandalia chai ingawa aliktaa ila nimemwambia mchana aje kula chakula cha mchana, yaani yale maswali waliokuwa wanasema mengi kumbe ukianza kuhojiwa hata dakika 7 hazifiki, miongoni mwa maswali hayo ni Unaitwa nani, Nani aliyelala kuamkia usiku wa leo, umri wako na wengine, kuna ulemavu wowote kati yenu, kuna vifo vilivyotokea, kati yenu kuna waliojiunga na mfuko wa jamii ie nssf, pspf, unashinda maeneo gani, na wenzako wanashinda maeneo gani, unajishughusha na ufugaji, elimu yako na wenzako, lugha unazozifahamu, uraia wako, kuna mwanakaya ambaye anaishi nje, n.k
Yule karani ameniambia atarudi tena kwa ajiri vitambulisho, alikuwa hana sare ameniambia sare zimechelewa ila alikuwa na kitambulisho.

Vile vile nimemshuhudia jirani yangu wa imani ya pili naye akitoa ushirikiano huku akiangalia kama kuna watu wa imani yake kama wametumwa kumwangalia anatoa ushirikiano, nikamwambia asiwe na wasi wasi mimi naaangalia kama kuna mtu yeyote atakuja ambaye simfahamu nitamstua.
Mkuu umenivunja mbavu ile mbaya...Nimecheka sana leo katika kiwango ambacho sijapata kucheka karibu miezi miwili sasa. Nashukuru sana Mkuu kwa kuniongezea siku za kuishi
 
hahaa! Eti Mwenyekiti wa mtaa kanipigia simu nifungie mbwa eti la sivyo watakuja na polisi na afisa mifugo wauwe Hao mbwa.... Kuna msela wangu kanipigia simu eti anasema lile dodoso refu la maswali 57 Lina maswali ka ulishawahi kulawiti au kulawitiwa ni kweli wadau? Ila msimamo wangu ni ule ule SIHESABIWI
 
Ah...Nimeshahesabiwa...raha sana!
Nchi moja wakati wengine wanafurahi kuhesabiwa wapo wengine wamejificha chooni ili wasihesabiwe. Mimi bado nawasubiri mpaka muda huu hawajafika
 
kwa waislam hilo si tatizo kwenda gerezani, nini? gereza sema kuwaua hatuogopi
 
Hapa watu wanaweza hesabiwa hata mara kumi kwa serikali dhaifu hii hakuna Sensa ya kweli.
 
Sensa ya watu imesababisha train ya kati kusimamishwa na wahesabuji wa sensa katikati ya safari wakidai watu wahesabiwe wote ndani ya train ndiyo iendelee na safari je huo ndiyo ustaarabu wa sensa?

hawana maana
 
Sensa ya watu imesababisha train ya kati kusimamishwa na wahesabuji wa sensa katikati ya safari wakidai watu wahesabiwe wote ndani ya train ndiyo iendelee na safari je huo ndiyo ustaarabu wa sensa?

ndio tz yao
 
Yako wapi! Mbona Shehe Ponda kahesabiwa. Ni jirani yetu. Kumbe Watanzania maneno tu
 
Back
Top Bottom