SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

Very unprofessional hiyo! Huyu afisa achukuliwe hatuna na natarajia cwt watoe tamko na kuomba utumishi wamsimamishe kazi huyo afisa,hawa jamaa washalewa sifa za kijinga! Badala ya kupambana na ufisadi kwy halmashauri unapiga mwl wa watu hata laki tano mshahara wake haufiki,ujinga kabisa huo.

CWT Ilibidi wamtafute Kibatala asimamie kesi hii, lkn....
 
Huyo anatakiwa afukuzwe kazi. Hajui kwenye ofisi za umma, mtumishi wa umma haruhusiwi kupigana au kutukana
 
mwalimu kapata mtaji ashindwe yeye tu kujipanga kufungua kiwanda mtaji kwa mtakukuru na wamfanyie kama ile ya koffi olomide
 
TANZANIA INA WATU WENGI WASIO NA AKILI. MF KUIFANYA SIKU YA KUPATWA KWA JUA KUWA SIKU YA KITAIFA! MBONA HUKU K'JARO HAWATHUBUTU KUZABA WATU MAKOFI WAONE VITABU VYA SHERIA VIKIPEKULIWA?
 
Msilikuzeee sana hiyo ni involuntary act inaweza kukutokea, iliwahi kukutokea na baada ya kitendo unajilaumu mwenyewe kwa kile ulichokitenda. Duniani kuna viumbe wengine wasioonekana wanaoweza ku ku control bila wewe kujijua hivyo wakati unalaumu hilo jiangalie wewe mwenyewe hujawahi kukutwa na kitu kama hicho au kinachofanana na hicho?
Kwa nini involuntary action kila mara kwa walimu tu?Acha utani wewe!
 
Sasa alisimama nyuma yake kwanini? Wanawake bila kupiga viganja vichache akili haziji kabisa
Mwanamke kusimama nyuma ya mwanaume mimi sioni kama linaweza kuwa tatizo kama mwanaume kusimama nyuma ya mwanaume mwenzie au nyuma ya mwanamke...
Lakini ninachojiuliza kama issue ilikuwa ni kusimama tu nyuma yake bila kufanya jambo lolote baya ni kwa nini huyo ofisa achukie bila sababu yoyote ya msingi??
 
Bado ipo Siku Waziri kakasirika kamuua kubaka hadhalani Kama Waziri alivyo weza kulewa bungeni....
Watanzania kwanini tunachagua viongozi washamba....
 
Huyo afisa tusishangae akateuliwa kuwa DC au RC maana watu wababe ndio wanaotakiwa awamu hii.
 
tatizo walimu hawana msimamo inakuaje mwenzao anapigwa alafu wanamuacha mpaka anakuja kukamatwa bila hata michubuko kidogo
 
Walimu yaani Mwalimu mwenzao anadhalilishwa tena shuleni wakiwa wamejaa lakini huyo Afisa kafikishwa Polisi hana hata Mkwaruzo wa kucha Mwilini, wanazidiwa umoja hata na waendesha bodaboda!!
 
Very unprofessional hiyo! Huyu afisa achukuliwe hatuna na natarajia cwt watoe tamko na kuomba utumishi wamsimamishe kazi huyo afisa,hawa jamaa washalewa sifa za kijinga! Badala ya kupambana na ufisadi kwy halmashauri unapiga mwl wa watu hata laki tano mshahara wake haufiki,ujinga kabisa huo.
Unamfahamu hadi useme laki tano haifiki.
 
Mbafu zake. Tungegawana vyumba. Kuna watu wanajiona wao ndio kila kitu. Walimu wangemfundisha adabu nashangaa kwa nn hawana umija. Wangepiga virungu sana
 
Hao waliokuwa na huyo mwalimu hawakushusha kisago?
 
Back
Top Bottom