SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

Msilikuzeee sana hiyo ni involuntary act inaweza kukutokea, iliwahi kukutokea na baada ya kitendo unajilaumu mwenyewe kwa kile ulichokitenda. Duniani kuna viumbe wengine wasioonekana wanaoweza ku ku control bila wewe kujijua hivyo wakati unalaumu hilo jiangalie wewe mwenyewe hujawahi kukutwa na kitu kama hicho au kinachofanana na hicho?
"Involuntary actions" unazijua? Au jamaa alikua anaumwa degedege na kifafa? Haiwezekani mtu asimame "nyuma yake " ghafla apigwe vibao. Kwani muhusika aliyesimamiwa nyuma ni ke or me?
 
Nyie ndio mlikua mnaongoza kwa kuimba mapambio na kubeba bendera za ccm. Acha muisome namba vizuri
 
Hawa watu wanaowapiga walimu siku zote huwa wanalamba vibao walimu wa shule za msingi tu, inamaana wa sekondari hawafanyi makosa?au wanaogopa elimu?.Na ole wao waje siku moja waingie kwenye anga zangu hakika hiyo siku watajua kuwa mimi ni mkurya mura.
 
angalia moja ya clip baada ya mtuhumiwa kukamatwa na watumishi wengine wakishirikiana polisi na kupelekwa kituo cha kata ya nyehunge!!!


mumuwie radhi mpiga picha
 

Attachments

Kwan afisa wa takukuru anapatika vip?je nini maadili ya kazi yake?
 
"Involuntary actions" unazijua? Au jamaa alikua anaumwa degedege na kifafa? Haiwezekani mtu asimame "nyuma yake " ghafla apigwe vibao. Kwani muhusika aliyesimamiwa nyuma ni ke or me?
Brother ukiwa na ma stress ya ajabu ajamu kunaweza kuufunya ubongo ukafanya kitu sympathetically kwa lengo la ku regulate hicho kitu cha gafla na kukusababishia kichaa cha muda na kufanya kitendo ambacho hujapanga wala kingigetarajiwa kufanywa na mtu yeyote mwenye uwezo wa kungamua baina ya jema na baya. Hivyo usiamini kuwa matendo kama kifafa (R. v. Tomson Msumali (1969) H.C.D. n. 26 (N.C.D. n. 370) ama kupiga chafya (Anthony Mhikwa v. R. (1968) HCD n. 460) Ndio involuntary action pekee kuna zingine zinasababishwa na provocation na kukusababishia kichaa cha muda na kukuletea kufanya jambo ambalo usingelifanya kama ungekuwa na akili timamu.
 
Taarifa zilizonifikia ni kwamba;

Kama kichwa kinavyo jieleza tukio limetokea leo Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA wilaya ya SENGEREMA MKOA WA MWANZA ambapo Afisa mmoja wa TAKUKURU amemlamba makofi mwalimu wa kike (jina linaifadhiwa) wa shule ya msingi (jina linahifadhiwa) wakati wa uhakiki wa vyeti kwa watumishi wote wa umma wa Halmashauri hiyo kwa kosa la kusimama nyuma yake wakati zoezi likiendelea.

Afisa huyo anashikiliwa na polisi mpaka sasa, kwenye kituo cha polisi cha KATA YA NYEHUNGE ambapo zoezi hilo linafanyika, wakati mwalimu akiwa hospitali kwa matibabu ya michubuko aliyoyapata.

Hii ni mwendelezo wa vichapo na udhalilishaji kwa waalimu ambao wanaonekana kutokuwa nathamani mbele ya kada zingine za kiutumishi.

Mpaka sasa suala hilo lipo mikononi mwa polisi, wizara usika na vyombo vyenye dhamana mtende haki kulinda heshma ya mwalimu.
Ulikuwepo kwenye tukio? Hebu tueleze chanzo maana haiwezekani mtu akuchape kofi bila wewe kumuanza
 
Very unprofessional hiyo! Huyu afisa achukuliwe hatuna na natarajia cwt watoe tamko na kuomba utumishi wamsimamishe kazi huyo afisa,hawa jamaa washalewa sifa za kijinga! Badala ya kupambana na ufisadi kwy halmashauri unapiga mwl wa watu hata laki tano mshahara wake haufiki,ujinga kabisa huo.
 
Ulikuwepo kwenye tukio? Hebu tueleze chanzo maana haiwezekani mtu akuchape kofi bila wewe kumuanza
taarifa inasema, afisa TAKUKURU alikua anaendelea na ukaguzi wa vyeti huku watumishi wakiwa wamemzunguka, mhusika alikuwa nyuma ya afisa takukuru kitendo kilicho mkwaza ama kumkera na katika kumwambia ampishe ndipo zoruba la kibao kumkuta mwalimu husika!!!
 
jaman walimu. ila huyo mtakukuru amefanya makosa kwa nini achukue sheria mkononi? kama huyo mwalimu alifanya kosa alipaswa ampeleke kwenye vyombo husika na si kumpiga. kwa mfano angefanya mwanajeshi angempiga? imefikia wakati walim tumechoka kuonewe
Kweli mkuu kada hii inaonekana kama ni utumwa
 
Msilikuzeee sana hiyo ni involuntary act inaweza kukutokea, iliwahi kukutokea na baada ya kitendo unajilaumu mwenyewe kwa kile ulichokitenda. Duniani kuna viumbe wengine wasioonekana wanaoweza ku ku control bila wewe kujijua hivyo wakati unalaumu hilo jiangalie wewe mwenyewe hujawahi kukutwa na kitu kama hicho au kinachofanana na hicho?
Hatutaki sayansi hapa, huyo ofisa akaozee jela, tumechokaaaaaaaa
 
ole wake mtu yeyote aje aniguse eti kisa mi mwalimu!Ntamgonga na kitu kizito kichwan! imenikera sana hii!
 
Back
Top Bottom