SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

Hivi Takukuru anakagua vyeti feki kwani NECTA wanafanya kazi ya kukamata rushwa? Hii awamu ya mwendo kasi tutashuhudia mengi sana, na sijui kwa nini saa hivi wafanyakazi wengi wana stress namna hii sasa hilo ni kosa la kuchapa mtu makofi kweli?!
 
Kutakua nasababu nyingine tena,sio kusimama nyuma yake tu kilochopelekea amzabue.Sema kwakua aliepigwa nimwanamke basi ataonekana kama ameonewa.
 
Ni kitendo kibaya sana, lakini huyo mtakukuru asamehewe tu
 
huyo mtakukuru lazima apande cheo mheshimiwa habari zikimfikia maana watu wa namna hiyo anawapenda sana
 
hawa watu hawa, wanajiona miungu watu...daaah
eeh Mungu msamehe maana hajui alitendalo
 
Sasa alisimama nyuma yake kwanini? Wanawake bila kupiga viganja vichache akili haziji kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Brother ukiwa na ma stress ya ajabu ajamu kunaweza kuufunya ubongo ukafanya kitu sympathetically kwa lengo la ku regulate hicho kitu cha gafla na kukusababishia kichaa cha muda na kufanya kitendo ambacho hujapanga wala kingigetarajiwa kufanywa na mtu yeyote mwenye uwezo wa kungamua baina ya jema na baya. Hivyo usiamini kuwa matendo kama kifafa (R. v. Tomson Msumali (1969) H.C.D. n. 26 (N.C.D. n. 370) ama kupiga chafya (Anthony Mhikwa v. R. (1968) HCD n. 460) Ndio involuntary action pekee kuna zingine zinasababishwa na provocation na kukusababishia kichaa cha muda na kukuletea kufanya jambo ambalo usingelifanya kama ungekuwa na akili timamu.
Hapo ndipo tunapopenda kuchanganya usomi wetu na tahaluma nyingine, huku tukiharibu maana nzima ya jambo.
Sheria inatambua kila mtu anaakili timamu, mpaka pale itakapo "tambulika" na daktari. Sasa nikuulize kitu wewe ni daktari kukimbilia kusema ni "Involuntary action"?

Na je katika kusoma kwako somo la baiolojia, uliambiwa matendo yasio ya hiari ni yapi?
Je ilo na kupiga mtu lipo miongoni mwake.?
(Kumbuka muhusika amempiga vibao na sio kibao) kuwa ni zaidi ya mara moja.

Mwisho kuna tofauti kubwa sana kati ya kuumwa kichaa, hasira na matendo yasio ya hiari. Hizo authorities ulizokimbilia ni irrelevant na jambo husika, lililopo hapa.
Kama unasoma sheria basi jiandae na anguko la kila mara katika mashauri yako. Otherwise usome sana na kuepukana kuchanganya mambo. Nikikuuliza kama mshitajiwa au mpigaji aanahistoria ya kuungua ugonjwa wa kichaa utanijibuje?
 
Aisee kumbe na TAKUKURU nao wanaihati KATIKIKIRI iwachunguze.
Sasa si angetumia Lugha nzuri tu kumuambia,maana kama ni kusimama inawezekana lengo ilikuwa ni kumfahamisha pale kwenye utata.

Halafu sijui kwanini TAKUKURU mpaka issue itoke kwenye vyombo vya habari ndio wao waende wakachunguze,yaani haiwezekani wao wenyewe kuhisi sehem kuna kitu wafuatilie mpaka issue ikitolewa na wanahabari basi na wao mbioo.
Halafu Number yao waliotuma kwenye sim ya 113 kama sikosei naona majanga tu,yenyewe inatakiwa ichunguzwe
Ati anaogopa kusimamiwa nyuma yakhe, au atokea kwenu huko?
 
Sawa lakini ujue maisha ni conflict hivyo tatizo linamtokea kila mmoja na baada ya kupatwa tatizo ndipo unatafuta namna ya kulisawazisha na sio kulikoleza moto , kila mtu hukosea leo kwake kisho kwako.
Hivi nikuulize kitu limitation ya defense ya provocation inakua applied katika masuala yapi?
 
Kama kichwa kinavyo jieleza tukio limetokea leo Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA wilaya ya SENGEREMA MKOA WA MWANZA ambapo Afisa mmoja wa TAKUKURU amemlamba makofi mwalimu wa kike

Mkuu hapo kwenye hizi rangi mbili fafanua tafadhali,
Huyo Mwalimu anafundiksha katika Wilaya mbili ! Yaani Buchosa na Sengerema?
 
Ina maana huyo Ofisa wa PCCB alikuwa ana nyaraka za siri huyo mwalimu akawa anadesa kwa nyuma, au huyo mwalimu alimsogelea sana akahisi mfadhaiko (kama mwanamme), maana hujasema kama huyo ofisi ya mwanamme au mwanamke.Yote kwa yote CWT waliangalie hilo kwa macho yote sio wakalie kuwekeza tu wanasahau kuwatetea wanachama wao.
 
TUNATOA HUDUMA ZA GPS CAR TRACKING SYSTEM, HD CCTV CAMERAS, FINGER PRINT ATTENDANCE SYSTEM, ELECTRIC FENCE&NETWORKING SOLUTION KWA BEI NAFUU KABISA. CONTACT US: 0743000027
Mkuu, ikulu walikua wanashida sana na hivyo vitu vyote unavyosema
Ebu jaribu kuchek nao.
 
Taarifa zilizonifikia ni kwamba;

Kama kichwa kinavyo jieleza tukio limetokea leo Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA wilaya ya SENGEREMA MKOA WA MWANZA ambapo Afisa mmoja wa TAKUKURU amemlamba makofi mwalimu wa kike (jina linaifadhiwa) wa shule ya msingi (jina linahifadhiwa) wakati wa uhakiki wa vyeti kwa watumishi wote wa umma wa Halmashauri hiyo kwa kosa la kusimama nyuma yake wakati zoezi likiendelea.

Afisa huyo anashikiliwa na polisi mpaka sasa, kwenye kituo cha polisi cha KATA YA NYEHUNGE ambapo zoezi hilo linafanyika, wakati mwalimu akiwa hospitali kwa matibabu ya michubuko aliyoyapata.

Hii ni mwendelezo wa vichapo na udhalilishaji kwa waalimu ambao wanaonekana kutokuwa nathamani mbele ya kada zingine za kiutumishi.

Mpaka sasa suala hilo lipo mikononi mwa polisi, wizara usika na vyombo vyenye dhamana mtende haki kulinda heshma ya mwalimu.
Inaonyesha mwalimu alikuwa anapiga kijicho kwa nyuma, afisa alipombaini akampiga kelbu. Ingenguwa risasi hapo sawa lakini kofi tu! Ni onyo sikunyingine asirudie kupiga kijicho mbele ya wakubwa.
 
acha tulatikwe makofi akili itusogee,, hatuelew ndio shida yetu,,tukiambiwa huyo hatupendi ndio tunazidi kujipendekeza,,tutafika tuuu
 
Sometimes kuna roho zinatafuta mtu wa kumwingia zinakuingia unafanya matendo ya kipumbavu unaingia matatani, kama hapo kulikuwa Hakuna sababu ya kumpiga mtumishi mwenzake japokuwa kina mama nao si haba Kwa majibu machafu
 
Back
Top Bottom