Senegal kuingia Gambia Ifikapo saa 6 kamili usiku

Senegal kuingia Gambia Ifikapo saa 6 kamili usiku

Ninacho jiuliza je ikitokea na Rais wa Nigeria amekataa kutoka madarakani watafanya kama walivyofanya Gambia nchi yenye wanajeshi 1000 waliotayali kwa vita na wengine wa akiba 1200 au wanafanya hvyo kwa vile ni nchi yenye jeshi dhaifu ??? maana yasije yakawa mambo ya double standards

Ni mwanzo mzuri wa kutetea Maslahi ya Wanyonge mpaka hapo watawala watakapojitambua.
Ikiendelea hivi hata Rais aliyeshindwa Nigeria na Kukataa kuondoka anaweza kutolewa kwa nguvu kwani umoja ni Nguvu.
Kwa sasa tuunge Mkono Jeshi la ECOWAS bila kufikiria hadithi za Nigeria kwani hata Obama akikataa kumkabidhi Madaraka Trump na akaungwa Mkono na Jeshi hakuna Nchi yoyote Duniani itakayotia Mguu kwenda kumtetea Trump.
 
“I am not going to involve my soldiers in a stupid fight. I love my men,” he added. “If they [the Senegalese] come in, we are here like this,” Badjie said, putting his hands up in a surrender gesture
Mwanawane nahisi damu inanichemka,natamani ninhekuwepo kushiriki kumfurusha huyo mshenzi Yahya Jameh.Namkumbuka Sikamona na Lusia katika Zawadi ya ushindi.
 
Atachukua vipi nchi wakati kuna Rais aliyechaguliwa kihalali? na akichukuwa halafu pakatokea machafuko na mauaji yeye atakuwa mhushika mkuu bora hiyo alivyoamua kutompa suport Jammeh.
Ila nimekubali sana mkuu wa majeshi. Huyu ndiye anayejua wajibu wake.siyo hawa ambao badala ya kulinda raia wao wanamlinda mtu mmoja.kwa maana nyingine hapo hapatakuwa na vita maana jeshi limeshajitoa na raia waliopiga kura wako upande tofauti na jammeh
 
Hamna kitu hapo, wangekua na lamaaana wangeshalitokomeza kundi la bokoharam. Wameenda Gambia kwa kua wanajua Jeshi la gambia lina askari 1000 tu.

Boko Haram ni ngumu kuiteketeza kuliko Gambia.
Kama anajijua dhaifu kwa nini anapimana ubavu na wakubwa?
Apigwe na apelekwe ICC kujibu hoja za Udikteta wake.
 
Mwanawane nahisi damu inanichemka,natamani ninhekuwepo kushiriki kumfurusha huyo mshenzi Yahya Jameh.Namkumbuka Sikamona na Lusia katika Zawadi ya ushindi.
Hahahahaa, hao ndiyo wenye maamuzi yao kwa manufaa ya wananchi siyo hawa wanaowanyenyekea marais
 
Wagambia ndio wanajua moto wake
Ninyi wengine mnaropoka hovyo tu hamjui maumivu yeyote
Wala hamna uchungu na wagambia.

We mbona unatetea sana madikteta, naona unamtetea sana yahya jammeh as if huko nchini kwenu labda una Kiongozi dikteta una masilahi nae kichama au nasaba
 
Ni mwanzo mzuri wa kutetea Maslahi ya Wanyonge mpaka hapo watawala watakapojitambua.
Ikiendelea hivi hata Rais aliyeshindwa Nigeria na Kukataa kuondoka anaweza kutolewa kwa nguvu kwani umoja ni Nguvu.
Kwa sasa tuunge Mkono Jeshi la ECOWAS bila kufikiria hadithi za Nigeria kwani hata Obama akikataa kumkabidhi Madaraka Trump na akaungwa Mkono na Jeshi hakuna Nchi yoyote Duniani itakayotia Mguu kwenda kumtetea Trump.
Hebu jitahidini muisome vizuri Historia ya Gambia, Si muungi mkono Jammeh lakini Historia inampa uhalali wa kufanya hvyo.
 
Ni mwanzo mzuri wa kutetea Maslahi ya Wanyonge mpaka hapo watawala watakapojitambua.
Ikiendelea hivi hata Rais aliyeshindwa Nigeria na Kukataa kuondoka anaweza kutolewa kwa nguvu kwani umoja ni Nguvu.
Kwa sasa tuunge Mkono Jeshi la ECOWAS bila kufikiria hadithi za Nigeria kwani hata Obama akikataa kumkabidhi Madaraka Trump na akaungwa Mkono na Jeshi hakuna Nchi yoyote Duniani itakayotia Mguu kwenda kumtetea Trump.
Ok sawa mkuu bt nimesema hvyo kwa kuangalia historia ya nchi za magharibi wa Africa kwa majeshi kupindua nchi au viongozi kukataa kutoka madarakani ukiangalia Nchi za magharibi mwa Africa ndio zinamatukio ya aina hii kwa sana kuliko upande mwingine au jumuiya zingine za Africa pia nikiangalia mahusiano yaliyokuwapo kati ya Gambia na Senegal ambapo kwa sasa Senegal ndie kama kiongozi wa hii mission nadhani wanaofatilia siasa za nchi za ECOWAS wanaweza kuwa wanajua vizuri ninachokiongelea
 
Sasa si tutakuwa tunawaonea majirani tu, hivi ikitokea rais wa Tz akagoma kama Jammeh unadhani nchi kama kenya,uganda rwanda na burundi zina ujasiri wa kusogelea mpaka wa Tanzania! Jammeh anatishiwa kwa sababu nchi yake haina nguvu ya kijeshi.
Tatizo sio udogo wa nchi hiz za Afrika mashariki kuisogelea mipaka ya Tanzania au mipaka ya nch zngne wthn this Community the problem is that; most of the leaders are of the same mentality and interest (dictatorial system) so no one will Flummox or shout against Evils.
 
79bdbd4750c34dab93281c9b45163ad4.jpg

Nasikitika kakimbia
 
Huyu rais wa Gambia ni mbishi sana.Hivi kwanini sisi waafrika ni wabinafsi sana?Hili nafikiri lisiishie kwa Gambia.AU inabidi wawe na chombo cha kusinamia katiba za nchi wanachama.wawa lazimishe nchi wanachama wawe na tume huru za uchaguzi.kiongozi wa nchi asibadilishe katiba bila kupata idhini kwa AU.Hii itasaidia viongozi kutochezea katiba kwa matakwa yao.
Gambia inatofauti gani na yaliyotokea Zanzibar Oct.2015????
 
Hamna kitu hapo, wangekua na lamaaana wangeshalitokomeza kundi la bokoharam. Wameenda Gambia kwa kua wanajua Jeshi la gambia lina askari 1000 tu.
Boko Haramu hata wakiwa500 mziki wao sio kitoto
 
Afrika Mashariki tuwe na Jeshi letu tuwadhibiti viongozi wang'ang'anizi wa madaraka,

Back
Top Bottom