ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
ECOWAS njooni Zanzibar mumtoe Dr cheni yupo zaidi ya Jameh
Waambieni ECOWAS wakitoka huko waje na Zanzibar,maana viongozi wa EAC wala SADAC hawanaubavu huo kwani wote wameingia kwa mabavu.Wanajeshi wa Senegal wako kwenye mpaka wa nchi hiyo na Gambia na wataingia Gambia iwapo Rais Yahya Jammeh hataondoka madarakani ifikapo saa sita usiku, hayo ni kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Senegal kanali Abdou Ndiaye.
Ndiaye amesema iwapo hakutakuwa na suluhu lolote wakati huo basi wataingia Gambia.
Kiongozi wa upinzani Adama Barrow ambaye alishinda uchaguzi wa Desemba 2016 alipangiwa kuapishwa leo
Ngoja Gambia isukwe upya wewe. Hii tabia ya kung'ang'ania madaraka ikiachwa itaota mizizi hapa AfricaWagambia ndio wanajua moto wake
Ninyi wengine mnaropoka hovyo tu hamjui maumivu yeyote
Wala hamna uchungu na wagambia.
Huyu sasa ndio command in chief“I am not going to involve my soldiers in a stupid fight. I love my men,” he added. “If they [the Senegalese] come in, we are here like this,” Badjie said, putting his hands up in a surrender gesture
Meanwhile, Ousman Badjie, the chief of defence staff, has said that he will not put his men on the line and they will not fight or die for Yahya Jammeh. Aljazeera.comWanajeshi wa Senegal wako kwenye mpaka wa nchi hiyo na Gambia na wataingia Gambia iwapo Rais Yahya Jammeh hataondoka madarakani ifikapo saa sita usiku, hayo ni kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Senegal kanali Abdou Ndiaye.
Ndiaye amesema iwapo hakutakuwa na suluhu lolote wakati huo basi wataingia Gambia.
Kiongozi wa upinzani Adama Barrow ambaye alishinda uchaguzi wa Desemba 2016 alipangiwa kuapishwa leo
Na afrika mashatiki tungekuwa ivi safisana lakin hata ashinde akishinda mpinzan tume lazima itie dosari kijan kiendelee kutawala
unaifahamu Gambia kijiografia ilivyo!! hizo nxhi zingne haziwez kwenda Gambia bila kupita Senegal...nadhan umeelewa maana yangu otherwise waseme majesh ya ecowasSio senegal peke yake...majeshi ya senegal,nigeria,mali na togo yapo mpakani kwa gambia tayari
Pamoja na hayo hakuna nchi ndani ya EAC inayoweza kusogelea mipaka ya Tanzania kwa sababu wanajua athari zake.Tatizo sio udogo wa nchi hiz za Afrika mashariki kuisogelea mipaka ya Tanzania au mipaka ya nch zngne wthn this Community the problem is that; most of the leaders are of the same mentality and interest (dictatorial system) so no one will Flummox or shout against Evils.
Tuko pamoja na Yahya Jammeh[emoji23] [emoji23]Natamani kujua msimamo wa Tanzania, kuhusu kinachoendelea sasa nchini Gambia....!
cc
Waziri wa mambo ya nje
Hao ECOWAS na Senegal wanakamia hayo mapambano kwa kuwa Gambia ni ka nchi dhaifu na kadogo, ingekuwa nche yenye jeshi imara hata wao wangesita kuvuka border,
Ila hatuungi mkono ving'ang'anizi wa madaraka, let him step down Yahya jammeh
Anaye isuka niyupi!!Ngoja Gambia isukwe upya wewe. Hii tabia ya kung'ang'ania madaraka ikiachwa itaota mizizi hapa Africa