Sema Chochote Kuhusu POGBA tuu

Sema Chochote Kuhusu POGBA tuu

pogba ni mzuri lkn sio kwa epl asipokuwa makini atachemsha,ulishawahi kusikia nguli wa soka duniani wakija epl mf Zidane,Gaucho,Figo,nk kuja hata kuonja ladha ya epl? jib no epl nooma
 
Kumbee Fagason aliona kuwa Pogba sio na sasa kiherehere cha Mourinho kumuweka Pogba kilikuwa ni nini? Kwahiyo saa hizi Pogba anahamia epl? Aiseeh kumbe ligi ndo inavokuwaga eeeh

Kasinde naye dadangu !!!!!...wewe uko klabu gani au ipi huko England?? Na hapa nyumbani unapenda klabu gani kati ya Simba na Yanga??? I am just curious....
 
Ntaanzia wapi kukugwaya kwa mfano??

Tatizo umekuwa adimu afu hueleweki kama Makonda...

Huyo si wa kutumbua.... ni wa kufungwa.... Amegushi vyeti!!

Hahahaha babu sijaadimika nipoo mie na weye tena the needeful is always fulfilled by vikutanavyo vyetu....

Kwa usawa huo Pogba afungwe tuu hakuna namna.
 
A man was quarreling with his wife and this is what ensued between them

Man: Ugly slut
Wife: Lazy idiot
Man: Stupid woman
Wife: Pogba

The woman was buried yesterday
 
BREAKING NEWS...Juventus to appear in court soon for selling a chinese product to Man United -Zhongba
 
me nawashangaa sana,, why pogba?? ndo anaeifungsha timu?? au anacheza vibaya?? au ni kwa sabab ya hela alyosajiliwa?? pogba naamn ni mchezaj mzur ambaye anahitaji kucheza na kina watu type ya morgan, carrick au schwstiger, angalia alipokuwa juve alikuwa kazungukwa na kina nan?? utagundua kwann wanahitajika watu kam kina carrick, na pia pogba bado anacheza vizur tu ila bado anastrungle uwanjan na bei aliyonunuliwa ndo mana unaona bado hajascore wala kuassist, hiyo ni kawaida kabisa refer kwa wachezaji kama kaka, zidane na wengneo kipind wamevunja recod za usajili dunia mech 4 za mwanzo walkuwa hawajassist wala kuscore
 
Maajabu yanaendelea kutokea

Mwizi kaiba vibanio kaacha jezi ya Pogba
 
Holla,

Kasinde sio mdau sana wa habari za michezo ila naona habari ya mjini sasa ni POGBA. Sema chochote kuhusu yeye....

View attachment 403774

View attachment 403776

View attachment 403777

View attachment 403778

View attachment 403779

Kama nimechapia nirekebishie ndo najifunza mdogo mdogo ili nikikaa na dadii niende nae sambamba kwenye kandanda.

Kasie.
Pogba akiendelea kupangwa na Fellaini kwenye mid-field maneno ya namna hii hayataisha. Anatakiwa kupangwa na wachezaji wa aina ya Schneiderlin, Carrick au Schweinsteiger ili aweze kucheza huru kama alipokuwa Juventus.

Ferguson hakupenda Pogba aondoke Manchester United, ila wakala wake ndie aliyefanya deal iliyompeleka Juventus 2012 (Ferguson aliandika kuhusu hilo katika kitabu chake pia)..
 
Kaka yangu aliniambia nikipata GPA ya 3.0 ataninunulia jezi ya pogba...nimedisco kabisa maana sipendagi ujinga mimi..
Usipoangalia uta disko mpaka maisha.
 
Sio Pogba mimi Pogba kashafeli.
mwenzako anajina duniani.....we maliza maneno yote ila ndiyo hvyo unazidi kumwongezea jina.......hata wale ambao si mashabiki wa mpira kama Kasinde anamjua Pogba......shaurilo......

kazi tuliyowapa nyie ni kuzidi kumfanya ajulikane duniani........
 
Inshu ya pogba arsenal wanaongea sana sijui akiamkia kwao itakuwaje kuna mmoja shabik wa arsenal sitakuja kumsahau alinzihaki sana rashford wakat wanaingia uwanjani aliwatungua goli mbili jamaa alilowa balaa bado hajavuka mto mnamzonga mamba

Mwingine wa man city et huyo dogo hampit mangala akatupia kamoja jamaa kimya hiz thraed kuna siku mtajutia
 
Inshu ya pogba arsenal wanaongea sana sijui akiamkia kwao itakuwaje kuna mmoja shabik wa arsenal sitakuja kumsahau alinzihaki sana rashford wakat wanaingia uwanjani aliwatungua goli mbili jamaa alilowa balaa bado hajavuka mto mnamzonga mamba

Mwingine wa man city et huyo dogo hampit mangala akatupia kamoja jamaa kimya hiz thraed kuna siku mtajutia
hata Martial walimsemaga sana .......mie nawashangaa msimu haujaisha na msimu ndiyo kwanza umeanza.
 
mwenzako anajina duniani.....we maliza maneno yote ila ndiyo hvyo unazidi kumwongezea jina.......hata wale ambao si mashabiki wa mpira kama Kasinde anamjua Pogba......shaurilo......

kazi tuliyowapa nyie ni kuzidi kumfanya ajulikane duniani........
Uko sahihi kabsa. Nakubaliana nawe 100%
 
Back
Top Bottom