Sema Chochote Kuhusu POGBA tuu

Sema Chochote Kuhusu POGBA tuu

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Holla,

Kasinde sio mdau sana wa habari za michezo ila naona habari ya mjini sasa ni POGBA. Sema chochote kuhusu yeye....

IMG-20160918-WA0023.jpg


IMG-20160918-WA0024.jpg


IMG-20160918-WA0025.jpg


IMG-20160920-WA0008.jpg


IMG-20160920-WA0007.jpg


Kama nimechapia nirekebishie ndo najifunza mdogo mdogo ili nikikaa na dadii niende nae sambamba kwenye kandanda.

Kasie.
 
Wana man u Hawana hamu nae kabisa eti wanasema haendani na hela waliyolipa.
 
ni kijana mdogo alieachwa na babu fergie akaja kichwa maji morinho akamuona yy ndio bora kuliko, pogba karibu epl kwan ndivyo ilivyo hii ligi
 
Kama alinunuliwa ili auze jezi ni bora wangemununua ISHA MASHAUZI wauze na madela

Hahahahahahaaa daaah kumbe wanaume huwa mnaburudika na mpira kiasi hiki? Kuanzia leo naanza ushabiki.

Ndo kusema Pogba kiwango chake cha mpira kimeshuka kiasi cha kubaki kuuza jezi tuu? Hahahahahah sipati picha isha mashauzi anauza madera ya man u hehehehehehe.
 
ni kijana mdogo alieachwa na babu fergie akaja kichwa maji morinho akamuona yy ndio bora kuliko pogba karibu epl kwan ndivyo ilivyo hii ligi
 
Mfanyakazi hewaaaaa

Waaaooow ona leo nimeonana na babu yangu mpendwa Big Sam......

Miss you big japo umenigwaya. ....

Back to the topic inamaana Pogba anahitaji kutumbuliwa?
 
ni kijana mdogo alieachwa na babu fergie akaja kichwa maji morinho akamuona yy ndio bora kuliko, pogba karibu epl kwan ndivyo ilivyo hii ligi

Kumbee Fagason aliona kuwa Pogba sio na sasa kiherehere cha Mourinho kumuweka Pogba kilikuwa ni nini? Kwahiyo saa hizi Pogba anahamia epl? Aiseeh kumbe ligi ndo inavokuwaga eeeh
 
Waaaooow ona leo nimeonana na babu yangu mpendwa Big Sam......

Miss you big japo umenigwaya. ....

Back to the topic inamaana Pogba anahitaji kutumbuliwa?

Ntaanzia wapi kukugwaya kwa mfano??

Tatizo umekuwa adimu afu hueleweki kama Makonda...

Huyo si wa kutumbua.... ni wa kufungwa.... Amegushi vyeti!!
 
Nawaza kimya kimya kama pogba angefunga gori kama goli alofunga XHAKA Wa arsenal last week mashabiki Wa man baadhi yao wangevua nguo kwenye vibanda umiza.
 
Pogba. Pogba. Pogba. Hasara ya BOGA, kuharibikia UKUBWANI.
 
Back
Top Bottom