sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,853
na utadhani wao hawajapoteza hata moja.Wakati ligi kuu kapoteza mech mbili na europa moja hapo ndo ujue united ni timu kubwa hizo kelele zake wangekuwa wao wepoteza safi usingesikia na kuona thread