Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,454
- 31,057
Kila mtu anapimwa kwa mizani yake kwa nafasi yake, natimiza wajibu wangu ila lipogba halifanyi Kazi kulinganisha za bei yake, linazidiwa magoli hadi na Cech kipa, Kazi yake kubadilisha hairstyles tu. Smhmwenzako anajina duniani.....we maliza maneno yote ila ndiyo hvyo unazidi kumwongezea jina.......hata wale ambao si mashabiki wa mpira kama Kasinde anamjua Pogba......shaurilo......
kazi tuliyowapa nyie ni kuzidi kumfanya ajulikane duniani........