sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,853
kwa Pogba ni uhalisia......jina lake kubwa duniani.Hhahahahahahaa ushabiki tuu madam, haiingiliani na maisha ya uhalisia.
kwa Pogba ni uhalisia......jina lake kubwa duniani.Hhahahahahahaa ushabiki tuu madam, haiingiliani na maisha ya uhalisia.
Ndivyo ilivyokuwa KasieOoooh kumbee.... sikuwa najua hilo
Holla,
Kasinde sio mdau sana wa habari za michezo ila naona habari ya mjini sasa ni POGBA. Sema chochote kuhusu yeye....
View attachment 403774
View attachment 403776
View attachment 403777
View attachment 403778
View attachment 403779
Kama nimechapia nirekebishie ndo najifunza mdogo mdogo ili nikikaa na dadii niende nae sambamba kwenye kandanda.
Kasie.

Paul Pogba has as many goals and assists this season as Yaya Toure. One of them hasn't played yet.Holla,
Kasinde sio mdau sana wa habari za michezo ila naona habari ya mjini sasa ni POGBA. Sema chochote kuhusu yeye....
View attachment 403774
View attachment 403776
View attachment 403777
View attachment 403778
View attachment 403779
Kama nimechapia nirekebishie ndo najifunza mdogo mdogo ili nikikaa na dadii niende nae sambamba kwenye kandanda.
Kasie.
Karibu KasieAsante sana umeniongezea taarifa na ujuzi.
Nakuonea huruma sana shem.....hata Martial walimsemaga sana .......mie nawashangaa msimu haujaisha na msimu ndiyo kwanza umeanza.
Shemu usinionee huruma kwa kitu ambacho nakipenda.Nakuonea huruma sana shem.....
Pesa ya madafuuuu.Wana man u Hawana hamu nae kabisa eti wanasema haendani na hela waliyolipa.
Ambacho nio POGBA.... Dah!!Shemu usinionee huruma kwa kitu ambacho nakipenda.
Na Manchester United kwa ujumla.Ambacho nio POGBA.... Dah!!
Nakuunga mkono 100%Na Manchester United kwa ujumla.
asante mkuu.Nakuunga mkono 100%
Pamoja sana sisterasante mkuu.
Pole kwa kuchagua fungu la kukosaNa Manchester United kwa ujumla.
Siyo kwa manchester aiseeee.Pole kwa kuchagua fungu la kukosa