Sema Chochote Kuhusu POGBA tuu

Sema Chochote Kuhusu POGBA tuu

[emoji30]
 
Attachments

  • 1474568725853.jpg
    1474568725853.jpg
    44.8 KB · Views: 42
duh wezi wengine bana yani kaiba vibanio kaacha jezi ya Pogba
 
Hahahahahahahaa daaah umenikumbusha ile wimbo wa taarab ulibamba miaka ya nyuma....

"Halishikiki eeeh halishikiki eeh ...pembe la ng'ombe. .....
Pinda mugongo pinda mugongo pinda mugongo. ..pembe la ng'ombe.
Kata kiuno kata kiuno kata kiuno.... pembe la ng'ombe. ...

Hehehehehe nimecheka sana maana nimeangalia hiyo picha alivokaa utasema anacheza hiyo taarab....... burudani kwelikweli daah.
 
Hapo Wenger anacheza Salome ya Diamond
 
Back
Top Bottom