Inasadikika uislam na ukristo vilikuwa dini moja isipokuwa kuna mtu alitafsiri vibaya maandiko ndo akaleta utofauti
Mfano: Mama wa Yesu Waislamu wanauita Mariamu , wakristo wao wanamuita Maria.
Viongozi wa dini wakristo wanavaa kanzu, waislam ni vazi la wote.
Wakristo wanafunga kwaresma, waislamu na ramadhan.
Makatazo almost yote yaliyokuwepo kwenye hizi dini mbili yanafanana.