Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah nyimbo tu sikuhiz napenda kuimba sana Yani nikiwasina kazi naomba Yani hizo lyrics naziandikaga nikiwa nasikiliza ingekuwa wanaruhusu voicenote ningekuwekea ufurahi navoimbagaSaut kama chura ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Ofcourse una sauti nzito kidogo halafu wewe ni mtaratibu sana.
 
20230616_165817.jpg
 
Back
Top Bottom