Selfika na JF: Snap it. Show it

Mungu wa utukufu , mwenye asili ya mema yote , ulie jawa rehema na neema, enzi na utukufu ni vyako, mamlaka na uwezo ni vyako, kwa neno lako nchi na vyote vilifanyika, uliumba malaika kwa utukufu wako .. Ninashukuru kwa zawadi ya wokovu na uhai, nakushukuru kwa huruma na msamaha wa dhambi, uovu na makosa na kushukuru kwasababu neema na huruma zako zimenifunika, nakushukuru kwa ajiri ya maisha ya mwanao na mtumishi wako Shimba Ya Buyenze , Heaven Sent , mahondaw ulie waumba na kuwafanya kwa ajiri ya utukufu wako, Nakushuru kwasababu hata sasa huruma na neema yako ipo juu yao, nakushuru kwasababu waliyo yashindwa kuna njia na jambo jipya litalo wezesha kuweza, nashukuru kwa ajiri ya familia zao, kwa ajiri ya kazi za mikono yao kwa ajiri ya afya zao.. Ulie mwema Mungu wa wote mwenye mwili ninaomba kila ombi lao lilitoka ndani ya roho yakajibiwe kwa ajiri ya utukufu wao.. nakusihi Mungu ulie fanya malaika na viumbe vyako vitakatifu , uruhusu kwa huruma zako vikatende kazi na wao ikiwapo kufunua kusudi lako katika maisha yao na kuwatangulia mbele katika kila hatua za maisha yao, asante Mungu kwa damu ya thamani ikawanenee mema mbinguni juu na katika nchi nchini na kila mahala palipo na uhai wako, kila hatu na kila jambo watendalo damu iwanenee yaliyo mema kama inanevyo katika madhabau yako iliyo juu mbinguni .. Amen 😁😁😁😁😁😁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤗🤗🤗🤗🤭🤭🤭
 
Heaven Sent
03E7DF15-C6E4-4D0D-A6E0-BB3A21EE91D1.png
 
Mungu wa utukufu , mwenye asili ya mema yote , ulie jawa rehema na neema, enzi na utukufu ni vyako, mamlaka na uwezo ni vyako, kwa neno lako nchi na vyote vilifanyika, uliumba malaika kwa utukufu wako .. Ninashukuru kwa zawadi ya wokovu na uhai, nakushukuru kwa huruma na msamaha wa dhambi, uovu na makosa na kushukuru kwasababu neema na huruma zako zimenifunika, nakushukuru kwa ajiri ya maisha ya mwanao na mtumishi wako Shimba Ya Buyenze , Heaven Sent , mahondaw ulie waumba na kuwafanya kwa ajiri ya utukufu wako, Nakushuru kwasababu hata sasa huruma na neema yako ipo juu yao, nakushuru kwasababu waliyo yashindwa kuna njia na jambo jipya litalo wezesha kuweza, nashukuru kwa ajiri ya familia zao, kwa ajiri ya kazi za mikono yao kwa ajiri ya afya zao.. Ulie mwema Mungu wa wote mwenye mwili ninaomba kila ombi lao lilitoka ndani ya roho yakajibiwe kwa ajiri ya utukufu wao.. nakusihi Mungu ulie fanya malaika na viumbe vyako vitakatifu , uruhusu kwa huruma zako vikatende kazi na wao ikiwapo kufunua kusudi lako katika maisha yao na kuwatangulia mbele katika kila hatua za maisha yao, asante Mungu kwa damu ya thamani ikawanenee mema mbinguni juu na katika nchi nchini na kila mahala palipo na uhai wako, kila hatu na kila jambo watendalo damu iwanenee yaliyo mema kama inanevyo katika madhabau yako iliyo juu mbinguni .. Amen
Baba Mchungaji. Asante sana kwa sala hii yenye nguvu na upako. Nimeguswa sana!

Hakuna zawadi ya thamani zaidi ya maombi na hakuna njia bora ya kumjali mtu zaidi ya kumuombea. Hebu yote uliyoyaomba juu ya maisha yangu na yakapate kibali mbele ya Mungu wetu Aliye mkuu. Mungu huyu mwema Amenivusha katika vita vikali vya kiroho na kimwili na naamini kuwa ana makusudi mema na maisha yangu. Na bahati nzuri najua ninachotakiwa kufanya na naamini kitatimia. Ndiyo maana niko hai!

Wewe ni mdogo wangu kiumri na nakuhesabu kama ndugu. Mungu Atupe uzima na naamini siku moja tutaonana na kusali pamoja. Barikiwa sana Mtumishi...

Maombi yametolewa na kama manukato na marhamu ya thamani sana yamepanda na kufika mbele ya kiti cha enzi; na yamepokelewa. Shetani ameshindwa na ushindi umeshapatikana tayari.

Tubaki katika rehema na kumbato lake nasi daima tutabakia salama kwa sababu Alishaahidi kuwa hatatuacha. Tutubu madhambi yetu. Tupendane. Tusameheane na tuonyeshe upendo na tumaini lake kuu kwa wengine...

Asante sana Baba Mchungaji
yQYAYrGRZ~1.jpg
 
Mungu wa utukufu , mwenye asili ya mema yote , ulie jawa rehema na neema, enzi na utukufu ni vyako, mamlaka na uwezo ni vyako, kwa neno lako nchi na vyote vilifanyika, uliumba malaika kwa utukufu wako .. Ninashukuru kwa zawadi ya wokovu na uhai, nakushukuru kwa huruma na msamaha wa dhambi, uovu na makosa na kushukuru kwasababu neema na huruma zako zimenifunika, nakushukuru kwa ajiri ya maisha ya mwanao na mtumishi wako Shimba Ya Buyenze , Heaven Sent , mahondaw ulie waumba na kuwafanya kwa ajiri ya utukufu wako, Nakushuru kwasababu hata sasa huruma na neema yako ipo juu yao, nakushuru kwasababu waliyo yashindwa kuna njia na jambo jipya litalo wezesha kuweza, nashukuru kwa ajiri ya familia zao, kwa ajiri ya kazi za mikono yao kwa ajiri ya afya zao.. Ulie mwema Mungu wa wote mwenye mwili ninaomba kila ombi lao lilitoka ndani ya roho yakajibiwe kwa ajiri ya utukufu wao.. nakusihi Mungu ulie fanya malaika na viumbe vyako vitakatifu , uruhusu kwa huruma zako vikatende kazi na wao ikiwapo kufunua kusudi lako katika maisha yao na kuwatangulia mbele katika kila hatua za maisha yao, asante Mungu kwa damu ya thamani ikawanenee mema mbinguni juu na katika nchi nchini na kila mahala palipo na uhai wako, kila hatu na kila jambo watendalo damu iwanenee yaliyo mema kama inanevyo katika madhabau yako iliyo juu mbinguni .. Amen 😁😁😁😁😁😁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤗🤗🤗🤗🤭🤭🤭
Na wote tuseme aimen!!

Aimmmmmeeeennnnnnn!!!!!!!!🙏
 
Back
Top Bottom