Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 5,950
- 23,243
🤣🤣Ila dimpozi anazo kweliHahaha hapana Kiongozi,nimeuliza tu
Nimeona hapo juu ukisema kuwa inabidi uangalie dimpoz,ikabidi niulize kama unamjua
Kuwa na amani Kiongozi
🤣🤣Ila dimpozi anazo kweliHahaha hapana Kiongozi,nimeuliza tu
Nimeona hapo juu ukisema kuwa inabidi uangalie dimpoz,ikabidi niulize kama unamjua
Kuwa na amani Kiongozi
Haha sawa sawa mkuumkuu nimeona pia usafi wa mwili....nguo white juu chini rangi siijui...shape iliyotukuka hakika siku yangu imeenda safi sana na leo nitapata hela nyingi sana huku kwenye bodaboda
Hahah ubarikiwe mkuuJamani jamani mwe mwe
Dah haya sawa brotherIla dimpozi anazo kweli
...bhatituuu vibongeee halafu misambwanda sasa uwiiiSio mimi niliitoa hukoooo sisi tunajulikana tuli bhatituuu vibongeee
...bhatituuu vibongeee halafu misambwanda sasa uwiii
Kalumbu ina maana gani? Katika Kisukuma ni mzizi wa nomino dada...Kalumbu nionyeshe ulichoona tafadhali.
Bahati mbaya picha inayosifiwa naona imefutwa. Ningeshuhudia!Yaan kwa hapo wamebarikiwa hasa wa Tukuyu
Kusomaga picha ikisifiwa bila kuiona ,inapandishaga joto la mwiliumeona nini ile mikono mizuri,yenye kucha zilizowekewa nakshi nakshi,,mkono mmoja ukiwa umeshika simu na mkono wa kulia ukiwa umebeba wallet pamoja hanchifu..au kule juu kifuani palivyo tulia
😂Kusomaga picha ikisifiwa bila kuiona ,inapandishaga joto la mwili
Mhh..kwenye wedding uwa kila mwanamke mzurisisi tupo huku View attachment 2023202
Mambo tayari nini mkuu?Tunayala fasta fasta kabla hayajaanza kuiva.View attachment 2023205
Hao ni maids.
😂😂 andaeni viwalo vya baby shower tu.
Ahaaa hakuna shida Ankal nitaanda viwalo...ukicheki jinsia nijulisheandaeni viwalo vya baby shower tu.
😀😀😀Hapana mkuu Depal huitaji kuwa na macho makali kumjua,we mwangalie Tu mashavuni ana dimpozi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Usijali PJ 🤣🤣Ahaaa hakuna shida Ankal nitaanda viwalo...ukicheki jinsia nijulishe
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Happy Birthday To YouHappy new age to moi
View attachment 2022978