Bahati mbaya picha inayosifiwa naona imefutwa. Ningeshuhudia!
Weka picha..acha kuongea kinyakyusa kingi humu snap and show it..Nionyeshe tu wewe mwenyewe Nkamu.
Naiomba hiyo picha pulizi. Kama vipi irudishe tu maana kila kona vilio vimetamalaki watu wakiililia. Kuwa na moyo wa huruma pulizi[emoji1545]hamna lolote Mkuu...Tulivyo na sifa wanyaki kitu kidogo tunakipaishaaaaa[emoji23][emoji23]
Pia kwenye graduation..graduates wote wa moto.Mhh..kwenye wedding uwa kila mwanamke mzuri[emoji38]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Mangi hadi leo hujanipa pichaWeka picha..acha kuongea kinyakyusa kingi humu snap and show it..
Nikikumbuka Hilo eneo 😅😅😅
Halafu waishia kusema huyu si Fulani 😄Pia kwenye graduation..graduates wote wa moto.
Naiomba hiyo picha pulizi. Kama vipi irudishe tu maana kila kona vilio vimetamalaki watu wakiililia. Kuwa na moyo wa huruma pulizi[emoji1545]
Ndio hivyohivyo.Kalumbu ina maana gani? Katika Kisukuma ni mzizi wa nomino dada...
I-lūmbū lyane - dada yangu
Ka-lūmbū kane - kadada kangu
Huyu ndio Depal mwenyewe kwa upande wa chini you look a nice girl by the way
Nkamu wakupe zao kwanzaila JF leo mmejua kunichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hakuna cha maana
Nkamu wakupe zao kwanza
Nkamu nasubiri full[emoji2956][emoji2956][emoji2956]Nkamu yaani na ndiyo mwisho leo kutuma picha huku ambayo nipo half[emoji23][emoji23][emoji23]nikita basi kucha tu
Lugha za Kibantu raha sana!Ndio hivyohivyo.
yeye anapaswa atuite sisi Kalumbu..
Si uiweke basi jamani tufanye tathmini wenyewe kama hakuna cha maana? [emoji15][emoji15]ila JF leo mmejua kunichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hakuna cha maana