moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,366
- 4,970
HahaaHuyu niliyenae anamatege,makengeza macho yake yote yanaangalia kushoto,Huyu yeye naona anabanja sana ankal..Vipi kwa unavyoona atafaa kweli!
HahaaHuyu niliyenae anamatege,makengeza macho yake yote yanaangalia kushoto,Huyu yeye naona anabanja sana ankal..Vipi kwa unavyoona atafaa kweli!
Rudishia ule mdomo bhanaa kwa avatar yako!Pole baba nitairudisha tu usijali sawa ee
Yeuww👌👌👌👌😘😘
😆😆😆😆 ankali mi naona bora ubaki na fweza zako tu..Hapana anko kikohozi kiwe kikavu sana halafu chenye kigugumizi
Sawa mkuuRudishia ule mdomo bhanaa kwa avatar yako!
Kindly requested!
Thank you Gucci gang 😊Love them green nails😎😎
🥰🥰🥰Yeuww👌👌👌👌😘😘
😆😆😆😆chizi sana ujue..nini eti umesema unaivutia muda!!😂😂😂Na leo tena
Kuna pisi kali nyeupe ya kienyeji imekaa mbele yangu naivutia muda tu..View attachment 1612554
Pisi kali ya kienyejichizi sana ujue..nini eti umesema unaivutia muda!!
Chakorii umeona hicho kisigizo cheupe?chizi sana ujue..nini eti umesema unaivutia muda!!
Mchuzi mwepesiiii Kama mafuta ya taa
DAP hizo. Daaahcounting mondayView attachment 1612513
Haha....eti eeeeee!!Mchuzi mwepesiiii Kama mafuta ya taa
Hii picha unanikumbusha story ya Kiga Koyo "how I met my wife".
Hahaaaaaa sipendagi michuzi ya namna hii asee. Umeshaibuka kwa mwenye kisigino cheupe?Haha....eti eeeeee!!
Kwema lakini mkuu