Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,670
- 15,249
Ahsanteeee
Juicy fruit we mwanamama hakika mungu aliumba! Very beautiful indeed
Juicy fruit we mwanamama hakika mungu aliumba! Very beautiful indeed
Nipo nae hapa nampanga mkuuHahaaaaaa sipendagi michuzi ya namna hii asee. Umeshaibuka kwa mwenye kisigino cheupe?
broken kiswahili, broken english- ifidie kwakuweka full pictureMimi sikuona
Halafu ahadi gani unaichelewesha hivi utadhani nasubiri ufalme wa mbinguni..embu ifidie wa kuweka full pic.
Unataka kuogelea kwenye huo mchuzi nini🤣🤣
Ilikuwa inasemaje mkuu..kwa ufupiHii picha unanikumbusha story ya Kiga Koyo "how I met my wife".
Namuona mnyama kazi pale katulia, kiboko ya majirani wasumbufu
Yes DAP msimu ndio unaanza maandaliziDAP hizo. Daaah
Aiseee wkend nitakua hapo ni kijiwe kimetulia
Aiseee wkend nitakua hapo ni kijiwe kimetulia
Ndio anko masharti yamenishinda.we Baki nazo tu nitakuja uninunulie japo soda 😅Hahahaha masharti yamekuwa mengi?
Hahaha.....chakula cha kwenye semina hicho ndugu.Unataka kuogelea kwenye huo mchuzi nini