Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,681
- 106,794
Booo..we acha tu
Booo..we acha tu
Safi Sana
Nini?
Nice
Asante Depal .Nice
Kisu hiki kimejificha
Mfumo gani huo??Wachache ambao hawajielewi ndio ukweli unawauma.
Mimi naendelea kuufaidi mfumo ambao unatubeba, kazi ya kulalamika nimewaachia nyie.
Ohoo usidanganyike na panga butu hiloKisu hiki kimejificha
like this huh?Okay dear one...
Katika simu yako, bila shaka watumia smartphone, katika phone keyboard ukiwa katika typing mode, hebu jaribu check sehemu ya emoji (huwa kawaida inawakilishwa na kisura kinachotabasamu huwa mstari wa chini kabisa baada ya herufi zote)...
Konyagi, k vant, maji au spritekwa wale wanaolijua vizuri jiji la mwanza washajua hii ni view toka kiwanja gani.
hii ni jana mida ya alasiri.
unaweza kutaja jina la kimiminika kinachoonekana kwenye glass?. ukipatia nakuunga kwenye bandle la 2GB la mtandao wowote wa simu unaotumia katika data hapa tanzania.
View attachment 1227989
hakuna hata kinywaji komoja ulichopatia. asante kwa kujaribuKonyagi, k vant, maji au sprite
GRANTkwa wale wanaolijua vizuri jiji la mwanza washajua hii ni view toka kiwanja gani.
hii ni jana mida ya alasiri.
unaweza kutaja jina la kimiminika kinachoonekana kwenye glass?. ukipatia nakuunga kwenye bandle la 2GB la mtandao wowote wa simu unaotumia katika data hapa tanzania.
View attachment 1227989
like this huh?
Kwema sana dakitareOoh yeah...habari za miaka