Basi tunaomba tuone hiyo kawaida
Imeombwa na Elkiurei kutoka Karatu
Elkiurei 😂😂😂
Basi tunaomba tuone hiyo kawaida
Imeombwa na Elkiurei kutoka Karatu
Nimefanyaje[emoji24]
Hahahaha, nishatupia mie pia nasubiri yakoNasubiri kwa hamu utupie yako
Hahahah...[emoji482]Depal[emoji177] View attachment 1227762
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji176][emoji173][emoji180]
Si wanawaona wanawake kama bidhaa ndiyo maana hata wakiwatolea mahari wanadhani wamewanunua na kwamba wanaweza kuwafanya chochote wanachojisikiaKabisaa
Mimi huwa siwezi kubishana nao, seriously mtu aweke picha nusu utupu sababu ya 30thao?!
Ni lini wataelewa utu wa mtu hauthaminishwi na fedha!! Ndo maana nawaangaliaga tuu mimi jamani!
Ndiyo!! Hukujua??Wewe ni mwanamke?
We jamaa kibonge
Unafanana mademu wenye akili za maisha[emoji125][emoji125]View attachment 1225625
Si wanawaona wanawake kama bidhaa ndiyo maana hata wakiwatolea mahari wanadhani wamewanunua na kwamba wanaweza kuwafanya chochote wanachojisikia
AmenLet's agree to disagree
Kwenye wengi kuna mengi na we aren't equal. Variations in perception, focus and respect will always exist.
God be upon us.
DaaahSi wanawaona wanawake kama bidhaa ndiyo maana hata wakiwatolea mahari wanadhani wamewanunua na kwamba wanaweza kuwafanya chochote wanachojisikia