Selfika na JF: Snap it. Show it


Why Job ime top up?


Nikiona tu Joel hii verse inaclick

Joel 2:25
“So I will restore to you the years that the swarming locust has eaten, The crawling locust, The consuming locust, And the chewing locust, My great army which I sent among you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Job ni kitabu cha kwanza kabla ya Genesis, kuna mambo mengi na mazito
 
Nani huyo M aliyegombana na remember au anayejiita DC? Nyie remember anatoleaga wapi yale maneno yake jamani? Khaaa

Yeah kweli nimekumbuka kitumbo alisoma IT
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DC wa kulee, huyu ana kituko chake bhana acha tyuuh.

M wa kubebewa nyota bhana, kitumbo ana desa la degree,

Remember yule ni kibokoooo, anajuaga kufunga chimbo huwa tuna poa wenyewe, hakna wa kumuweza kulee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaaah kumbe kaka mbunifu.

Mmh remember labda umdunde tu; kwa maneno utakimbia tu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…